SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,094
- 75,538
"Heri wale wasio na mashaka na mimi" ndivyo asemavyo Bwana.
Bwana gani huyo? Wanafiki wote mnapenda sana kujificha kwenye kivuli cha maandiko.
"Heri wale wasio na mashaka na mimi" ndivyo asemavyo Bwana.
Usipende ku POST Wakati uko ktk days Zako"Heri wale wasio na mashaka na mimi" ndivyo asemavyo Bwana.
Mkuu nishamwambiaa juliana asipende kupost uzi wakTi Yuko katika days zake......Chaah! Sasa Ben Saanane nilifanyaje Jully?
Kwa kumbukumbu,Hayo Maneno uliyoweka hapo niliandika siku nilipotangaza kuwa sitagombea Uenyekiti kwa sababu zile
Siku hiyo Patrobas hakua amechukua fomu
na alikuja kuchukua Fomu Jumatatu yake. Hayo maneno niliandika Jumamosi
Nimekua nae tangu kabla hajachukua fomu na hata katika kampeni na baada ya Uchaguzi
Sasa mbona kama vile unataka kuleta uzushi kiaina Benazir?
Unaweza kutuambia ni taratibu zipi zikitumika kumpa Lowasa kugombea Urais ndani ya Chadema.?....hivi Shonza na hizi kelele zako zote kuhusu Chadema, umeshawahi kuuliza kwa nini mwenyekiti wa ccm huwa anapewa uenyekiti kama peremende?!, umeshawahi kuwauliza kwa nini huwa hawafuati katiba?
...punguza kiherehere binti!, unajitutumua tu, huku huna lolote!
Sio lazima kila thread uchangie, kukaa kimya nako pia ni mchango.Bwana gani huyo? Wanafiki wote mnapenda sana kujificha kwenye kivuli cha maandiko.
Kwa kweli kujua kama UVCCM wako bora ama laa kunategemea zaidi unafananisha na UVCCM ya kipindi gani..?ha ha ha Shonza ntakutafuta hakika umefuzu vizuri. kati ya watu waliokudharau mojawapo ni mimi ila ulikaza sana kamba hatimae ukatoboa.
hakika kukata tamaa ni dhambi hongera sana Bibie.
ila hayo uliyosema Bavicha wafanye mbona UVCCM hawafanyi? wao kazi yao ni kujibu mapigo ya bavicha tu?
ivi yule sijui SHAKA HAMIDU SHAKA afanya nini?
Hawa jamaa wakiona mtu au taasisi ni kweli dhaifu, kama alivyo Lyatonga na Cheyo, huwa wanapongeza haswa. ukiona wanakosoa, ujue wanapata shiidaRuttashobolwa,
Sasa kama BAVICHA ni weak na ovyo si ndio mngekaa kimya na kufurahi zaidi?
Poleni sana. Vijana wanajenga Taasisi. And their Chairman Patrobas is doing the right thing at the Right time.
Inawezekana...!!Hawa jamaa wakiona mtu au taasisi ni kweli dhaifu, kama alivyo Lyatonga na Cheyo, huwa wanapongeza haswa. ukiona wanakosoa, ujue wanapata shiida
Sio lazima kila thread uchangie, kukaa kimya nako pia ni mchango.
Hapo kwenye RED...neno wenye maono umelitumia kwa maana ile ile niliyokuwa naitumia mimi ama mmebadilisha maana kwa sasa..?Bila kuitaja chadema...huwez ishi vizur ...halafu una tatiso kubwa sana Shoza .....la stress nenda kamuone daktari wa saikolojia,uondoe stress...huwez kuwa mshauri ,wakati ww ni failure nikisema hivi vijana wenye maono wananielewe......
Chaah! Sasa Ben Saanane nilifanyaje Jully?
Kwa kumbukumbu,Hayo Maneno uliyoweka hapo niliandika siku nilipotangaza kuwa sitagombea Uenyekiti kwa sababu zile
Siku hiyo Patrobas hakua amechukua fomu na alikuja kuchukua Fomu Jumatatu yake. Hayo maneno niliandika Jumamosi
Nimekua nae tangu kabla hajachukua fomu na hata katika kampeni na baada ya Uchaguzi
Sasa mbona kama vile unataka kuleta uzushi kiaina Benazir?
it's even worse kwa Mwanaume kuanza kufuatilia na kuona wivu kwa Ndoa ya Bint...this is typical LGBT characters.Huyu msichana ana matatizo, hivi kwenye ndoa yake kuna usalama kweli?
Kwa kweli kujua kama UVCCM wako bora ama laa kunategemea zaidi unafananisha na UVCCM ya kipindi gani..?
Na kwa sababu sijaiishi UVCCM kama nilivyoiishi BAVICHA ukweli utabaki kuwa naijua zaidi bavicha kuliko Uvccm...tena naijua ndani nje.
Lakini naiona UVCCM, naisikia kwenye vikao vya Chama na naisikia katika hoja na mabaraza ya kitaifa...
Nawaona vijana wengi wanaofanya vizuri na wanaakisi taswira ya Ujana wengi ni zao la UVCCM. Nikimtazama Makonda anavyolimudu jiji Mama la Dar es salaam naiona UVCCM..nikimtazama Hapi akiwa ameimeza Kinondoni na naiona UVCCM...naiona UVCCM leo na katika Tanzania ya kesho...ila siioni BAVICHA popote