Hongera Patrobas, ila umenielewa vibaya

Hongera Patrobas, ila umenielewa vibaya

Ameolewa ila ndoa chungu mayai alikaangia chips mimba jaziingii anashinda humu kuondoa stress

Kaka huo ni upungufu wa kibinadamu, mtu kutokupata mtoto si kujitakia lkn ni mipango ya Mungu maana yeye ndiye anatoa na yy ndiye mwenye uwezo wa kukunyang'anya ata ww ambaye mayai yako hukulia chips, pia kuwa na upungufu wa kibinadamu siyo sababu ya kumzuia yeye kusema. Toa hoja za msingi maswala ya ndoa yake siyo ya kuanika hapa jukwaani maana kila ndoa Ina changamoto zake.
 
Ruttashobolwa,

Sasa kama BAVICHA ni weak na ovyo si ndio mngekaa kimya na kufurahi zaidi?

Poleni sana. Vijana wanajenga Taasisi. And their Chairman Patrobas is doing the right thing at the Right time.
Hivi kwanini viongozi wakuu wa CHADEMA hawakuamini? Wakina RUTH MOLLEL walikuwa CCM muda wote wamejiunga na CHADEMA mwezi mmoja kabla ya Uchaguzi na wamepewa ubunge wa viti maalum...Wafia chama kama wewe na Yericko Nyerere hata Ujumbe wa Kamati Kuu wamewanyima? Tatizo ni nini? Sumaye amejiunga juzi tu ameshapewa ujumbe wa kamati kuu
 
"Heri wale wasio na mashaka na mimi" ndivyo asemavyo Bwana.
ha ha ha Shonza ntakutafuta hakika umefuzu vizuri. kati ya watu waliokudharau mojawapo ni mimi ila ulikaza sana kamba hatimae ukatoboa.

hakika kukata tamaa ni dhambi hongera sana Bibie.

ila hayo uliyosema Bavicha wafanye mbona UVCCM hawafanyi? wao kazi yao ni kujibu mapigo ya bavicha tu?
ivi yule sijui SHAKA HAMIDU SHAKA afanya nini?
 
Ni bahati mbaya binadamu hawezi kuchagua Jirani. Majirani wengine hata kama nyumba zao zikiwa zinatoa moshi wa sumu na kuwaumiza walio wengi hawako tayari/hawana uwezo wa kuchukua hatua.
 
....hivi Shonza na hizi kelele zako zote kuhusu Chadema, umeshawahi kuuliza kwa nini mwenyekiti wa ccm huwa anapewa uenyekiti kama peremende?!, umeshawahi kuwauliza kwa nini huwa hawafuati katiba?

...punguza kiherehere binti!, unajitutumua tu, huku huna lolote!
 
"Heri wale wasio na mashaka na mimi" ndivyo asemavyo Bwana.
Acha ujinga wako wa kunukuu maandiko matakatifu kwenye upuuuzi wako. Kwani kutofautiana kwenye Siasa ni dhambi? Tatizo liko wapi? Unataka Chadema waige Mfumo uliopooza wa CCM wa kusifiana kinafiki? Patrobas ana haki ya kupingwa na kukubaliwa! Chadema haiendeshwi na malaika ni binadamu! Jaribu kujenga hoja yenye mashiko utaeleweka tu, HERI walio wapatanishi....!!!!
 
Ruttashobolwa,

Sasa kama BAVICHA ni weak na ovyo si ndio mngekaa kimya na kufurahi zaidi?

Poleni sana. Vijana wanajenga Taasisi. And their Chairman Patrobas is doing the right thing at the Right time.
Ben how are U doing..? It has been long haujachangia kwenye thread zangu lakini pia ni kama ulipotea JF baada ya yaliyokutokea Rombo. Nice to have U back...njoo tupige maneno ndio silaha yetu wanasiasa.
 
Kitu kimoja nilichojifunza kwako Binti,

Unamapenzi makubwa mno na Chadema hususani Bavicha. Hulali, hunywi, huendi choo wala hujigeuzi bila kuifikiria Bavicha. Hii ndiomaana unaweza kujua kila kauli ya Mwanachadema hapa ndani. Ni bahati mbaya tu, hujaweka mchango wangu hapa, ila ninahakika unao....!!!

Hilo la kwanza....,

Lakini la pili, inaonekana umepata ajira hiyo uliyonayo sasa umeipata kwa Mgongo wa Chadema (Kusaliti na kugeuka mtusi wao) Hii ndiomaana hulali bila kuisema Chadema au Viongozi wao kwakuwa bila kufanya hivyo jina lako litatupwa jalalani mwaka 2020 kama lilivyotupwa jila la Swahiba wako Mtela Mwampamba. Hapa unajaribu kwaaminisha Viongozi wako kwamba bado unakazi ya Kuichafua na Kuisakama chadema na hakuna mwingine awezaye zaidi yako.

Lakini mimi nakuhisia kitu kimoja,

Unajua kule aliko Mzee Wassira hii leo? Unajua mzee huyo amewahi kujiapiza kuwa Chadema itakufa na kusahaulika? Basi usijenge Muhimili wa Maisha yako kwa kutegemea Siasa. Unayo mambo mengi ya kufanya kwa kuzingatia Umri wako. Hujafa hujaumbika, Uliyemtusi leo ndiye msaada wako Kesho...!!

Ninayo mengi ya kukwambia, lakini hayaendani na umri wako. Ukikua nitafute nikujuza zaidi. Juliana Shonza

BACK TANGANYIKA
 
Mkuu tumia nafasi yako vizuri bavicha achana nao andika mada za kumsifia Mtakatifu magu unaweza kupata uwaziri.

Mwalimu Nyerere alisema bila upinzani imara CCM italegea mno na kushindwa kusimamia malengo yake.
Akiwa(Juliana) mwana CCM yawezekana anatimiza wajibu wake wa kuhakikisha upinzani unakuwa imara.
-------------------
Seriously,(mbali na kumtuhumu uongo Ben Saanane kuwa hamkubali Mwenyekiti wa sasa wa BAVICHA-kwa mujibu wa Ben si kweli) kuna vipoint viwili vitatu kaviongelea vinavyotakiwa vijana wote (bila kujali chama) watafakari na kutolea maamuzi.
-----------------
Honestly, huwa siamini amini sana kuwa Yericko N. ana "damu" nzito ya Chadema kama vijana wengine. Najua hili laweza kuzua mjadala.
 
Chaah! Sasa Ben Saanane nilifanyaje Jully?

Kwa kumbukumbu,Hayo Maneno uliyoweka hapo niliandika siku nilipotangaza kuwa sitagombea Uenyekiti kwa sababu zile

Siku hiyo Patrobas hakua amechukua fomu na alikuja kuchukua Fomu Jumatatu yake. Hayo maneno niliandika Jumamosi

Nimekua nae tangu kabla hajachukua fomu na hata katika kampeni na baada ya Uchaguzi

Sasa mbona kama vile unataka kuleta uzushi kiaina Benazir?
Unamaanisha ulikatwa jina kabla ya uchukuaji fomu kumalizika au vipi?kama umesema ulitoa hayo maneno baada ya kukatwa,halafu Petro akachukua fomu jumatatu basi kuna tatizo hapo
 
Yaani kama kweli unasoma PhD kama unavyojitamba tena katika chuo changu pendwa UDSM basi nimeamini chuo changu pendwa kimeshusha kimeshusha vigezo vya kujiunga na degree ya uzamivu kiasi sasa watu wataogopa kujiunga!
 
Ben how are U doing..? It has been long haujachangia kwenye thread zangu lakini pia ni kama ulipotea JF baada ya yaliyokutokea Rombo. Nice to have U back...njoo tupige maneno ndio silaha yetu wanasiasa.

Okay.....Benazir,

All is well.......! Wewe mwenyewe unajua kwanini baadhi ya thread zako ninazichunia.

Nimechangia kwa sababu kuna mahali umepiga siasa za "Hamira " hapo juu ulikonizushia.
 
Bvicha wamekuwa watu wakuunga mkono tuu matamko ya Lowasa na Mbowe.

Leo hii Bavicha wanashindwa kumdhibiti Lowasa kujitangaza mgombea kabla ya 2020.

Mimi ndio maana huwaita Nyumbu.
wewe ni ng'ombe,shida iliyopo hapa ni kuwa sijui km una mkia au la.
 
Bvicha wamekuwa watu wakuunga mkono tuu matamko ya Lowasa na Mbowe.

Leo hii Bavicha wanashindwa kumdhibiti Lowasa kujitangaza mgombea kabla ya 2020.

Mimi ndio maana huwaita Nyumbu.

Tehe tehe tehe
Nyumbu porini uraiani watu
 
Back
Top Bottom