Hongera ORIGINO COMEDY.

Hongera ORIGINO COMEDY.

BUCHANAGANDE

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
1,512
Reaction score
482
Nimeamua niwapongeze orijino comedy kwa sababu ya topic yao ya jana jioni May 11, 2013 hasa ile inayowakumbusha wanawake kujua wajibu wao. Wanawaonya wale wanawake wanaojisahau na kuwaachia majukumu yote ya ku-care wanaume zao wa ndoa kwa kuwaandalia chakula cha aina moja kila siku tena mahousegirl wakiwa kama ndo walioolewa wakati wake wakiwa wanajidai kuchoka kila siku ati kwa sababu ya kuajiriwa. Comedy wanasema kwamba hilo linasababisha wanaume kutoka nje ya ndoa.
Je NI KWELI?
Karibuni tulijadili hili.
 
Bado wapo hao?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
kwani hilo si linajulikana? Sasa hongera za nini. Tuambie Mkuu hao wachovu wamevumbua nini cha kuwapongeza.
 
Duh miaka mitatu sasa sijaangalia watu hawa. Naogopa sana watu wanaopenda pesa bila kujali wanaipata vipi. Kwao pesa zote no safi¡
 
Mleta mada bado sijakuelewa...
Umeanza kutoa maelezo ya kuwasifia hao OK,mwishoni unauliza kama ni kweli...
Sasa unawasifu OK kwa lipi na unataka kufahamu ukweli upi?
 
Wewe bado unaangalia vipindi vya hao jamaa wanaopenda kujifanya mademu!!!
 
Mleta mada bado sijakuelewa...
Umeanza kutoa maelezo ya kuwasifia hao OK,mwishoni unauliza kama ni kweli...
Sasa unawasifu OK kwa lipi na unataka kufahamu ukweli upi?

hata mie nmeshindwa kumuelewa!??
 
Jamanivmbona mwambana menzenu pua hivo...khaa hata hamna dogo
Mwenzenu kaona somo hapo hebu lijadilini somo kama sehemu ya kujenga
binafsi hata sinaga mpango na hao okay lakini wkt mwingne "BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA"
 
Vyema kwa kuelewa. Ni wachache wenye akili ya kuelewa miongoni mwa wengi.
 
Comedy wa TBC walishaachaga kurusha matangazo ya condom nk
 
Back
Top Bottom