Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,875
- 2,201
bado huku kupo juuu no stress hivi mkuu hiyo android box unalipia kiasi gani kwa mwezi na inauzwa bei gani pia unapata mechi nyingi kiasi maana huyu sport 24 Hd ikitokea game zipo muda mmoja ni shida kidogo mfano ile ya man u na swansea hawakuonyesha bali wakaichukua ya liverpoolChezea Sport 24 HD na android box, watanyooka tu
Hiyo inapiga game zote za epl kwa sisi tunaotumia ungo ule mkubwa wa zamaniSport 24 ndo nn wakuu
Teh teh teh!!!ungemtia na mtusi mpya wa mamaake japo ahusiki,muradi aumie tu cku ingne asiwe na kiherehere cha kubisha
Kama uko chumba cha kupanga sawa ila kama ni nyumba haina tatizo yale madogo unaingiza chanel zao kama ni ting utanasa za ting kama startimes ni hizo za startimes ila kwa sport 24 na Sony series unatakiwa uwe na hilo la futi 6 au 8
Hizo ni channel tunazo furahia pasipo malipo ya kinyonyaji
mkuu mbona siku zote inaonyesha mechi zote? maana super sport three ipo Premium na compact plus basiNimependa kuwa compact plus inaonesha mechi zote na pia channel kama duscivery hd,ci na nyingine kali zimefunguliwa kwl ushindani unasaidia
Nafaham lkn nimependa hizo nyingine waliongeza kama dicvery hd,dcvry family,itv na b4u japo wanatakiwa washushe bei zaidimkuu mbona siku zote inaonyesha mechi zote? maana super sport three ipo Premium na compact plus basi
Samahani mkuu umeongea vitu japo sijavielewa ila vimenivutia nisaidie kunielewesha mkuu.Plus MA Mobdro lazima washuke tu maana nilishaacha ujinga me napiga bluestack kwenye pc yangu nafungua Mobdro naconnect na Hdmi cable nakula game kama niko UK kwa msaada WA Vodacom 4G ya buku mbili tu 2Gb.
Samahani mkuu umeongea vitu japo sijavielewa ila vimenivutia nisaidie kunielewesha mkuu.Plus MA Mobdro lazima washuke tu maana nilishaacha ujinga me napiga bluestack kwenye pc yangu nafungua Mobdro naconnect na Hdmi cable nakula game kama niko UK kwa msaada WA Vodacom 4G ya buku mbili tu 2Gb.
Plus MA Mobdro lazima washuke tu maana nilishaacha ujinga me napiga bluestack kwenye pc yangu nafungua Mobdro naconnect na Hdmi cable nakula game kama niko UK kwa msaada WA Vodacom 4G ya buku mbili tu 2Gb.
Ngoja nikatoe store kwa maana kilikuwa kinakula vumbiNi kweli kabisa,juzi jioni walinipigia simu kunijulisha hiyo bei.
Bado wako juu sana,huku Azam Tv ni 15,000 tuDstv kidogo kidogo wanaanza kupata akili kuanzia ijumaa ligi ya Spain itakuwa inaonekana kwenye kifurushi kidogo kabisa cha Dstv bomba ambacho kimepunguzwa bei na kuwa sh 19750.hakika wamegusa kilio chetu,wajiongeze kidogo watupunguzie na Epl katika compact isogee hata mpaka sh60000 itakuwa poa sana.
Shida ya eplsite ni pop ads kibao.www.mama.com www.eplsite.com mambo yote yako hapo
Usiwe unabisha vitu ambavyo ndio fani yetu ngoja niisntall kwenye pc yangu ya ofisini soon ntakutumia screenshot kukuumbua usibishe vitu kama huvijui labda uwe unaomba ufundishwe,umeniboa hujui halafu unabisha
Acha kudanganya watu wewe kama unaweza install alafu tuma screen shot tuone nani muongo kati yangu na yako alafu mob dro resolution yake sio kubwa kama unavyosema wewe
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] umetishaPlus MA Mobdro lazima washuke tu maana nilishaacha ujinga me napiga bluestack kwenye pc yangu nafungua Mobdro naconnect na Hdmi cable nakula game kama niko UK kwa msaada WA Vodacom 4G ya buku mbili tu 2Gb.