Hongera Msindima kwa BabyGirl

hongera sana usisahau kumvisha binti yetu shanga ilikutengeneza figure
JF msinishambulie
 
Dada na Member mwenzetu Msindima wa Arusha amenipigia jana kuwa usiku wa kuamkia Jumapili 30/11/2011 saa 9.00 za usiku alijaaliwa kupata Babygirl.
Ikumbukwe kuwa Msindima alifunga ndoa iliyohudhuriwa na wanaJF kibao mwaka 2009.

Lakini pia mtoto huyu mpya kwa Msindima ni precious baby, kutokana na matatizo ya uzazi ambayo ameyapitia siku za nyuma.

Nachukua nafasi hii kumpongeza sana Dada Msindima kwa ugeni huu, na Mungu aibariki sana familia yake.

T37-3A


We PJ hiyo tarehe mbona bado haijafika? au ulimaanisha 30/10/2011?.....but Hongera kwa mwana JF mwenzetu
 
We PJ hiyo tarehe mbona bado haijafika? au ulimaanisha 30/10/2011?.....but Hongera kwa mwana JF mwenzetu
Exactly mkuu, nilimaanisha 30/10...si unajua tena kupagawa?, nimesha'edit, nashukuru kuweka sawa!
 
Hongera sana Msindima............tunakuombea afya njema wewe, mtoto bila kumsahau baba yao. Mungu awalinde na kuwabariki.
 
pamoja na hongera, ningependa kukumbusha kuwa hatua uliyofikia ndio mwanzo wa safari kubwa iliyoko mbele yako. Kazi ni kuhakikisha babygirl anapata matunzo stahiki, ili aje kuwa mwema huko mbele ya safari
 
Back
Top Bottom