Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
kuhuzunika si kipimo cha kuwa na uchungu hata wachawi wanahuzunika msibani
Handsome Boy!
Anashindwa hata "kuigiza" kuhuzunika?
Handsome Boy!
Anashindwa hata "kuigiza" kuhuzunika?
unawajari = unawajali
Nashukuru mkuuFF,
Badala ya kusahihisha kiswahili cha wakuja, toa walau pongezi kwa baba mkwe kwanza!!!!
sawa unachosema lkn hakina ukweli wowote MBU, ni serikali ileilewakazi wa mabondeni hakuanza wakati wa kikwete wapo tangu enzi za Nyerere, awamu ya Mwinyi wakaongezeka, awamu yaMkapa wakaongezeka zaidi na Kikwete ndio yamemfika anabeba zigo utadhani makazi ya mabondeni yameanza awamu ya nne..... tutende haki.
sawa unachosema lkn hakina ukweli wowote MBU, ni serikali ileile
ya CCM haijabalika. Kwa hiyo serikali ililea tatizo kama inavyolea
matatizo mengine. Serikali ichukue hatua kali dhidi ya wakaidi wa
amri hali ya serikali. Kuna sehemu za kuchekeana lkn sio katika
hili, linakuja suala la mazingira ni muhimu kuwa na ziro uvumilivu