Hongera mh Anne Kilango Malecela

Hongera mh Anne Kilango Malecela

Hongera Mama Anna Killango Malecela - Mbunge wetu Ndg. C.Keenja bado ana zimwi lako ya jinsi ulivyomtimilia vumbi pale ubungo kwenye kura za maoni miaka hiyoo -kweli wewe mama ni jasiri haswa.

Keep up.
 
Hongera mama ni mfano mzuri, endelea kupigana na mafisadi na kufanya jimbo lako liwe la mfano kwa maendeleo.
 
Hongera sana Mama Ana Kilango kwa kuwepo na Kadigree si haba thatha kule thame watakoma na bungeni thi mlithema hana elim thatha kapata hongera sana tena sana sasa itumie kuwakomesha hao mafisadi wa CCM na ukiona wanakuzengua njoo CHADEMA
 
haya bwana ila kumbuka siasa ni mchezo mchafu...sio kila king'aacho ni dhahabu ndugu ngoja tumpongeze hivohivo lakini tunataka mapini zaidi sio zile single walizokomalia kipindi kile za akina lowasa tu mbona mauchafu na matakataka kibao tu yapo?
Mnamo majira ya saa tisa kamili pale kibaha tar 31 oct
MAMA YETU KIPENZI MH SANA MBUNGE ANNE MALECELA.K ANATARAJIA KUPATA DEGREE YAKE YA BCOM.....UKIWA KAMA MCHUKIA UFISADI
MUADIILIFU WA UMMA...MPENDA WAPIGANAJI ,

MCHUKIA DEGREE FEKI DUNIANI

HATUNA BUDI KUPMONGEZA MAMA YETU KWA HATUA HII ALIOFANIKIWA KATIKA MAISHA YAKE,,NI WENGI SANA WAMEITWA MA DK..WANA DEGREE BAYA ZAIDI WAMEPEWA MAMLAKA MAKUBWA HADFI KUFIKA UKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM.....LAKINI LEO HII MAMA YETU UMEONYESHA SHULE AINA UKUBWA....TUKIWA KAMA VIJANA TUNASHUKURU KWA MAMBO YAFUATAYO

1) KWANZA KWA KUITENDEA HAKI ELIMU YA TANZANIA

2) KWA KULITENDEA HAKI BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWA KUWA MBUNGE MMOJA WAPO MWENYE DEGREE HALALI

3)TUNASHUKURU SISI KAMA WAPIGANAJI ,WACHUKIA MAFISADI KWA KUTUTENDEA HAKI KUWAONYESHA KWAMBA ELIMU SI KWA NYIE MNAOCHOTA PESA ZA WALIPA KODI HATA SIE TUNAOPINGA UFISADI ELIMU NDIO ILIOTULETA HAPA TULIPO

4)TUNASHUKURU KWA KUITENDEA HAKI FAMILIA YAKO MAMA...HIVI SASA BUNGENI FAMILIA NYINGI AMA WABNGE WENGI HAWANA AMANI KABISA KWA KUSHTUKIWA NA VYETI FEKI...NA SISI KAMA WAPPIGANAJI TUNAKUPONGEZA KWA KUTOINGIA MKUMBO WA KUCCHAFUA JINA LA FAMILIA YAKO........MAFISADI PIGA MAKOFI TAFADHALI........

5)HII IWE FUNDISHO KWA WALE MA VIHIYO WALIOKIMBILIA VYETI FEKI VYA KUNUNUA....

MWISHO TUNAKUOMBEA MUNGU ELIMU ULIOIPATA IWE FUNDISHO NA KIADHIBIO KWA WALE MAFISADI WOTE WATAKAOPITA ANGA ZAKO KAMA VIPI LAZIMA UFIE NAO KIDONDANI ........
 
hakika mama MUNGU ana kupenda,na masanilo anakufurahia kwa baraka zako
mkuu masa salama;mama anaanza kuongeza cheche sasa inabidi tujipange asikilipue chama
 
hongera sana mpiganaji wetu. atleast tumeona kusoma kwako
 
Elimu haina mwisho ila wana siasa huwa wanatarget zao! Huyu mama kuna kitu anavizia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom