Hongera Maulid Kitenge

Hongera kwake Hio ni faida ya watu wanajiamini
 
Mmmmmh nasikia mwigulu amesema anatakiwa kuwajibishwa huyo jamaa kwa makosa ya kumuonesha bastora
 
Tanzania yetu! Jaman naionea huruma yan Amani inapotea hivi ivi!
 
Shame on you too!

Maandazi kabisa wewe!
 
Kitenge ni Muhuni wa Alharamain Secondary School , usikute alishapasha cha Shaurimoyo kabla ya kwenda kwny press conference halafu Ana hasira sana na Mke Mwenzie Janet aliefoji vyeti na majina
'95 mpaka '98 ni muda mrefu sana.
 
Haituhusu.
Si tunajadiri Ujasiri wake wa Jana.

Tabia zako za Kishoga, sio mahala pake.

Maandazi Kabisa wewe!
 
Nilishangaa yule ofisa anachomoa bastola Kwa mkono wa kushoto halafu anaishika Kwa mkono wa kulia.....nikajua moja Kwa moja jamaa hana mafunzo..... mmmmh
Sure! Lilikua ni kosa la kijinga Sana! Adui ambaye naye akiwa Na siraha akuangalie kwa sekunde zote 3 Wakati unaigeuza silaha Ili uishike Vizuri!
 
Kwani kuna mtu asiyejua kwamba kitenge ni usalama. Yule yupo katika ivi vyombo vya habari kwa kazi maalum. Jezi nambari 9 mgongoni Maulidi mbaraka wa kitenge
Kwa hiyo hata ile zero yake ya Al-haramain ni ya Kiusalama usalama! Naskia Bashite nae Usalama!
 
Kitenge ni Muhuni wa Alharamain Secondary School , usikute alishapasha cha Shaurimoyo kabla ya kwenda kwny press conference halafu Ana hasira sana na Mke Mwenzie Janet aliefoji vyeti na majina
Duuh.....blaza husomeki....too ambiguous...
 

Yule jamaa sio TISS ni police tu wa kawaida,,,sidhani km kuna Tiss wakuwa mjinga km yule
 
Wewe umejuaje kama hakupitia mafunzo? Alijiamini ndio maana alisogea walikuwepo wengi pale lakini hawakuthubutu kusogea. Wewe unamjua maulid kama mwandishi wa habari ila humjui nje ya uandishi ni mtu wa aina gani. Kwako ni hatari yawezekana kwake ni kawaida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…