Hongera Maria Sarungi, wahuni walitaka wakurubuni eti uje kumzika baba yako, usingelirudi duniani, ungepotea kama Mdude, Soka et al na wengine

Hongera Maria Sarungi, wahuni walitaka wakurubuni eti uje kumzika baba yako, usingelirudi duniani, ungepotea kama Mdude, Soka et al na wengine

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,136
Reaction score
96,161
Kwa haya yanayoendelea kwetu Tanganyika, nchi ya ya Julius Kambarage Nyerere, ungelogwa ukaja eti kumzika baba yako, ungelipote mazima .

Mshukuru sana Mungu wako na malaika Gabriel aliyekuongoza.
 
Attachments

Mimi nadhani siku na watekaji nao wakifariki, au kupatwa na majanga ya aina yoypye ile; basi na wale wenye ndugu zao waliouwawa, kuteswa, kutekwa, kupotezwa, kufungwa kwa uonevu, nk. nao waachwe wafurahie/wafanye sherehe.

Maana hii ndiyo faraja yao pekee ya kuzifariji roho za wapendwa wao.
 
Kwa haya yanayoendelea kwetu Tanganyika, nchi ya ya Julius Kambarage Nyerere, ungelogwa ukaja eti kumzika baba yako, ungelipote mazima .

Mshukuru sana Mungu wako na malaika Gabriel aliyekuongoza.
Huyu asingerudi tena. Wangemhenyesha balaa. Ukizingatia na Hangaya she doesn't care!
 
Sasa at El na wengine ndio nini?
Ngoja nikueleweshe.
1. Soka had friends 2 or 3, if not mistaken, who accompanied him to the police station to fetch his motorbike; therefore, I have referred to them by et al.

Then apart from Soka et al, kuna na wengine ambao wamepotea/wametekwa... I have referred them " na wengine:
 
Maria Sarungi naona alishatonywa mapema,na kweli angepotezwa,hii so nchi ya amani tena chini ya CCM
 
Kwa haya yanayoendelea kwetu Tanganyika, nchi ya ya Julius Kambarage Nyerere, ungelogwa ukaja eti kumzika baba yako, ungelipote mazima .

Mshukuru sana Mungu wako na malaika Gabriel aliyekuongoza.
Sarungi ni funzo la kutokuoa wazungu, unazaa watoto wasio na utu unazikwa kama hukuwahi kuzaa
 
Back
Top Bottom