Duh tulikumbuKIE
Kama kweli ni habari njema
Mahakama gani imetoa hukumu hiyo wadau?
Lilikuwa linatoka Alhamis kama sikosei mkuu...
Mahakama imeamua. Hizi ni habari njema kwa Tasnia ya Habari nchini.
Wameamua kulifungulia maana sasa hivi halitaweza kuandika zile habar maana shut up law ipo.
Hivi lilifungiwa na mahakama au Idara ya habari Maelezo Manyerere Jackton
Yaani Kubenea mmalize Lowassa kabisa. Yaani mpambanaji hongeraSasa Dr Slaa ajiandae kupambana na Mwanahalisi
Manyerere hii habari umeinyima nyama kwanini
Gharama na hassara iliyopatikana zinalipwa..????