chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,013
Mahakama gani imetoa hukumu hiyo wadau?
umesahau na mawio mkuu
Wameamua kulifungulia maana sasa hivi halitaweza kuandika zile habar maana shut up law ipo.
Natamani limalizie kisa cha Dr. Ulimboka na Ramadhan Ighondu, maana hii ndio ilikuwa makala ya mwisho na ndio simulizi ambayo huenda ilipelekea serikali kulifungia hili gazeti.
Kama sikosei Kubenea alituhaidi angeivua nguo TISS kuhusu namna ambavyo walishiriki kumpa kibano Ulimboka
Utaratibu wa kufungia Magazeti ni mbaya. Unawafanya wana habari wawe na wasiwasi muda wote.
Nimefurahi sana tena sana kwa habari njema kwa mwanahalisi kuwa hewa ni tena
Je litatoka Jumatano kama kawaida yake au
Uhuru una mipaka! unapohatarisha Amani... unapofanya any means ya kuzuia serikali kutekeleza majukumu yake , unapozusha habari na kuleta machafuko ... ACHA MFUNGIWE TU !
Mahakama imeamua. Hizi ni habari njema kwa Tasnia ya Habari nchini.