Hongera Lukuvi, kazi yako tumeiona

Kwa hiyo viziwani hakuna wakristo?
Unakimbilia mada za udini ambao haupo ni kama unaulazimisha uwepo. Hayati JKN alisema pale kilimanjaro hotel kwamba mtu aliyefilisika kichwani haraka sana hukimbilia kujitambulisha kikanda, kimaeneo, kiukabila.

Jitahidi usifanane na aliyefilisika kichwani.
 
mbona pia wakati nadhani alikuwa uingereza alipoulizwa swali la ukabila na udini alikubali na kusema kwa sasa tz ukabila upo so huwezi kukwepa udini na ukabila upo tz tena kwa sasa unarudi kwa kasi ya kutisha.
 
we ni mpuuzi tu jibu hoja
 
mbona pia wakati nadhani alikuwa uingereza alipoulizwa swali la ukabila na udini alikubali na kusema kwa sasa tz ukabila upo so huwezi kukwepa udini na ukabila upo tz tena kwa sasa unarudi kwa kasi ya kutisha.
Hata kama unarudi ni wa kupigwa vita kwa namna yoyote ile. Madhara yake huwa ni makubwa na yanayodumu wa miaka mingi.
 
Mlitaka Jeneza lake litokee Wizarani?

Kaondolewa Waziri Mkristo kawekwa Waziri Mkristo, huo udini unatokea wapi?…

CCM ina succession plan bora sana, Wazee wa Age yake wengi washaondoka huko yeye anasubiri nini?

1995 tulikuwa nae UV CCM na kina Hayati Ditopile kwny harakati za Uchaguzi wa Mgombea…wenzie wote tumeshatundika 'Daluga'

Usipostaafu utastaafishwa tu

Dingi alijitahidi sn sema maza udini unamtafuna sn
 
Back
Top Bottom