Hongera Lema! Hongera Chadema!

Hongera Lema! Hongera Chadema!

Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha.

Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo.

Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi? Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!

Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!
hatutaki hongera zako,mahakama imesema ntulipe gharama za kesi..... viazi wakubwa nyie
 
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha.

Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo.

Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi? Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!

Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!

Unafiki tu huna jipya, Wewe, Ikulu na Mahakama mulikuwa hamna jinsi ya kuzuia nguvu ya umma, ila na wewe umekua siku hizi maana unakaribia kuirudisha kadi ya CCJ yasije yakakukuta kama ya Dr Slaa
 
Safi kaka unaonesha ni namna gani ulivyo mwanasiasa mahiri na msema kweli na ukomavu katika siasa.Ni kweli hawa jamaa haki ni pale wanaposhinda wao lakini wakishindwa ni kelele.Hawa ni kama watoto ni wakuvumiliwa tu.Hata kuwa na kadi mbili babu wao wanao sawa,ila angekuwa anazo zitto ungewasikia wakimtaka ajiondoe chamani.Ni chama ch kikanda,ukabila na udini
mkuu kama ni ukanda,ukabila na hata udini, ccm ndo kwenyewe. Ulizia vizuri utaambiwa!
 
sasa kK nape hamwoni huku ndo huwa tunasema kila ck serikali yetu imejisahau watenda kazi wake wengi wabove na wababaishaji hebu fikiri juu ya hakimu alie amua hii kesi 4 the first time je yeye alikuwa hazijui sheria au alifuata matakwa ya mtu flani ukipata jibu njoo sasa kwenye wananchi wa jimbo la arusha mjini na maendeleo yao walivyosoteshwa haya ni mambo madogo sana ambayo hayahitaji hata mboye na slaa wasimame jukwaani kuelezea wananchi even by using jicho la kipofu u can sense them
 
NAPE ................... we nyamaza tu maana ww huna hoja ya msingi siku zote unaongea pumba tu. nakuonya huna hata haki ya ku brush viatu vya dr.SLAA usipende kumpigia makelele yako, yule ni dr. wa ukweli na wewe ni layman unaetegemea magamba
 
Nape,
Mbona moyo wako unainama chini? Kwa nini ccm mnafadhaika? wekeni tumaini lenu kwa mafisadi ndio miungu yenu.
 
jamani na sisi tupandikize mamluki wa kutosha kule ccm tutumie njia hiyo kuwavuruga na kuwatawala kiurahisi pepleziiiiii
 
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha.

Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo.

Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi? Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!

Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!

MNAUYE, chadema hatuna haja ya kupewa hongera ni haki ya siku myingi iliyokuwa imenyang'anywa tu
 
Hawa vijana wetu sijui wamepatwa na kitu gani. Ukisoma maandishi ya Nape, Gwakisa, Sanga, Mchange, shonza, huwezi kutofautisha. Kama mapacha vile. Lema aliweka wazi mapema kuwa hukumu iliyotolewa na mahakama kuu ilitoka Ikulu. Limekuja jopo la majaji wa rufaa wakamvua nguo jaji feki Rwakibalila. Nape anataka CDM tuseme nini tena!
 
jamani na sisi tupandikize mamluki wa kutosha kule ccm tutumie njia hiyo kuwavuruga na kuwatawala kiurahisi pepleziiiiii
Nitakuwa mtu wa kwanza kupinga ushetani huo. Hatuna resources za kutapanya kijinga. Vinginevyo unapendekeza chama kianze kufadhiliwa na kina Rostam.
 
Nnauye Jr, kama Dr. Slaa babu, Sitta kibabu na Kingunge kibibi?
 
Last edited by a moderator:
kwani ungesema hongera lema bila ya huo uvundo uliouongezea ungekonda kaka ona sasa umepongeza kinafiki sasa unashambuliwa kama nyuki.
 
Nnauye Jr, kama Dr. Slaa babu, Sitta kibabu na Kingunge kibibi? Au kikababu
 
Last edited by a moderator:
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha.

Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo.

Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi? Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!

Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!
we ni janga la taifa!!! tunajuta kuwa na mtu kama wewe hapa tz!! mihela yetu mmeficha uswisi....MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU LAANI MAFISADI...tunajuta kuwa na Chama Cha Magamba hapa tz!!! ptuuuuuuuuu!!!!
 
Maandamano ya Arusha yalikuwa kwa nia nzuri ya kupinga ujangili wa kisiasa uliofanywa na chama chako CCM kwa kuchagua Meya na naibu wake bila kufuata taratibu za kisheria. CCNM yako ilipingana na maandamano halali kwa kuagiza polisi kuyazuia.

Pia CCM yako iliendelea kusababisha vurugu kwa kuwahonga madiwani wa CHADEMA ambao wameshafukuzwa na chama. Kama kweli CCM ina nia njema na nchi hii kwa nini serikali manyoongoza inaogopa kuitisha uchaguzi wa madiwani katika kata zilizo wazi Arusha?
 
Wivu ni kidonda, ukiushiriki utakonda, fungu la kukosa Nnauye!!!
 
Nape naamini we ni kiongozi japo unaongoza serikali yenye misingi mibovu ya utendaji kazi. suala la kumpongeza Lema kisiasa ni nzuri lakini kwa undani wake wewe unatoa kejeli na ni unafiki. unajua nashangaa mtu msomi unakumbatia dhana za ujima as if watu hawajasoma.kaeni fikirini mnaharibu fedha za wananchi kwa kesi kesi zenu za ajabu mahakamani jiulize kwa nini kila kesi mnayopeleka mahakamani dhidi ya chadema wanashinda? anza na mnyika ubungo alishinda njoo kwa lema ameshinda hii inaonesha namna gani mnang'ang'ania madaraka ilihali jamii haiwapendi when a shoe becomes old a new one is bought think over and over then plan
 
Kwa kile kinachoonekama kama kishindo cha Lema kuwaelemea CCM , Nape ameandika ifuatavyo kwenye Fb yake.

HONGERA LEMA.,HONGERENI CHADEMA...!

Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha...!

Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...!
Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo.

Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi? Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!

Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo.

NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!
 
Back
Top Bottom