Hongera Lema! Hongera Chadema!

Hongera Lema! Hongera Chadema!

hivi pro-chadema hamuwezi jibu hoja au kuchangia hoja bila matusi???....
 
wapi wewe ulishapima upepo tokea mwanzo, ulisha ona kua hapa hata mkono wa ikulu ungeingia bado lema angekua mbunge halali wa arusha, kilichobaki jiandaeni kutafuta wapi mtaenda kuchakachua pesa za kodi za wananchi mkalipe gharama za kesi. pleni sana wana ccm!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! peoplesssssssssssssssssssssssssss!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ndg nape nadhani kwahilo unayozungunza hata mtoto wa shule ya msingi atakushauri kwamba unakosea. Watu wanaandamana kwa sababu wananyimwa haki yao ya misingi, matumizi mabaya ya rasimali yao kwa serikali isiyowajibika na gandamizi. Acheni porojo na chama chako mbali timizeni wajibu la sivyo watu hawataacha kuandamana na lazima watawapiga chini kweny chaguzi.
 
Kwa kile kinachoonekama kama kishindo cha Lema kuwaelemea CCM , Nape ameandika ifuatavyo kwenye Fb yake.

HONGERA LEMA.,HONGERENI CHADEMA...!

Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha...!

Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...!
Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo.

Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi? Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!

Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo.

NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!



Hii homgera ni batili na ya kinafiki. Huyu anataka kujikosha kana kwamba ameguswa positively. Ikulu imengilia vya kutosha na kusababisha judgement batili ya Rwakibalira. kama sio umakini wa CHADEMA na mawakili wake wangaliridhika lakini wakaiona haki imebakwa na CCM. Ikulu imeinilia sana na hata judgement hii wamefanya maneuvre mengi ikashindikana kutokana na uzito wa hoja za wa CDM. Mwenyekiti wa ccm taifa aliongea mara kadhaa arusha konesha kuwa hukumu ilikuwa ya haki (kumbe hajui sheria zaidi ya kukandamiza na rushwa). Mzee wa nywele nyeupe naye alijikita sana Arusha kuhadaa, pamoja na matumizi ya fedha na mwishowe walipokuwa na Kinana Sheikh Amr Abeid kujitambulisha kwa CC yao EL kasema "Ni aibu jiji la Arusha kuwa chini ya upinzani na nataka hukumu ya rufaa igfanyike haraka ili tuchukue jimbo hili" Aibu kwake na kwa Nape na CCM yeny hasa mwenyekiti. Nape tatizo huwa anachukulia mambo kirahisi sana na sio kwa uziito na mtazamo tafakuri (in depth thinking). Nadhani akubali tu wamepata aibu kwa gharama, vitisho na mazingambwe walotumia wakidhani wangemshinda Mungu. Aone Mungu alivyo wa ajabu, Kilichompata Rwakibalira baada ya kutoa hukumu batili. Ndo mazingira haya yanafanya tusikubaliane na mawazo yoko na ushauri wa kinafiki.
 
Maandamano ni haki ya wananchi hasa yakiwa ya amani na polisi wanataarifiwa tu ili kuyalinda maandamano na sio kuruhusu au kukataza "katiba ya nchi " .Kwakuwa mishahara yao inatokana na kodi za hawo wananchi hata kama hujaenda shule kabisa unapaswa ujue hilo.Kama kusoma hujui hata picha huwezi kuelewa ndugu
Nape asome tena katiba ya JMT
attachment.php

attachment.php

attachment.php

Na sheria ya Vyama vya siasa.
attachment.php
 
Nape una moyo,kuongoza chama na kusema kwa niaba ya mafisadi.hongera kaka sikutegemea utashirikiana na wazee wa kujivua gamba, akina mr white hair na wengine.kweli SIHASA.
 
hivi huyo bwana mdogo NAPE,kawa katibu mwenezi wa CHADEMA?! maana kila kukicha chadema chadema hamia basi chadema tujue moja,au ndo mti wenye matunda matamu!!!!!!
 
Fujo husababishwa na CCM, hata mahakama kuu ya rufaa imedhihirisha hilo. Nape acha porojo, tafuta njia ya kuwasaidia wale makada watatu kulipa gharama za ujinga wenu
 
Jamani hako ka NEPI ndo ka nani ndo kana kiherehere xana kanashoboka kila kona kapo kanapeenda kusema na media
 
Jamani tuwe wakweli, hata pongezi nazo tunazitilia mashaka? Naona wanachadema tunakokwenda sasa ni kubaya! Nape pongezi zimefika kaka,na wewe tufikishie salam kwa wajomba waitishe uchaguzi kule Igunga na s/wanga.Asante kwa kuniitikilia niliyoandika.Peoples!!!!!!!
 
hivi nape ni lini utaacha kuvaa pempaz?mbona kila siku hukui?hivi kweli ushawahi kuitwa baba?mhh ninamashaka
 
Nape hana uwezo gani wa kuinglia kesi aache kujikweza amshukuru mungu baba ake japo marehemu analipwa fadhila kwa mtt wake
 
Who the hell is nape? Acha taarabu wewe.


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hizi siasa zinaeza kufanya mtu timamu aonekane fyatu...
Kazi ipo!!!
 
Nape wewe ni kaka kiumbo na kiumri kwa Mh. G Lema mpiganaji LKN kiakili,kifikra na kiutendaji huwezi kumfikia Lema hata kwa 0.00005, kidogo unaweza mfikia Lusinde mzee wa mtera.
Sasa hizo ni pongezi umetoa au ulitaka kumchimba mkwara Lema asihitishe maandamano? Pinda,Lukuvi na mama Makinda walimshindwa wewe ndio unaingia?? Wewe ni Janga kwa ccm,bse kwa taifa haujafikia kiwango hicho kwan tunakumudu.
 
Back
Top Bottom