Hongera Lema! Hongera Chadema!

Hongera Lema! Hongera Chadema!

nachukua nafasi hii kuwapongeza chadema na mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya ubunge wa arusha.

Nilidhani na leo mtasema ccm, nape na ikulu wameingilia kesi....mkishinda haki imetendeka, mkishindwa kuna mikono ya ikulu...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo.

Mdogo wangu lema umeiona arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi? Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!

Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. Narudia kwa hili hongereni chadema,hongera lema!!!

utulivu bila amani ni kazi bure: Lakini bado tunawakorogea dawa ikikamilika lazima muimeze sawa dogo?
 
Kwa kile kinachoonekama kama kishindo cha Lema kuwaelemea CCM , Nape ameandika ifuatavyo kwenye Fb yake.

HONGERA LEMA.,HONGERENI CHADEMA...!

Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha...!

Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...!
Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo.

Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi? Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!

Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo.

NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!

Kamanda NAPE njoo CDM tupige kazi huku!
 
Kama Nape aliona kimya Arusha, na ana busara, basi ategemee MSHINDO.

Maandamano huwa hatuandamani tukiimba 'hoya hoya hoya, kiboko msheli...!!', huwa tunalaani mambo mabaya yanayofanywa na CCM. Kubeza maandamano ya upinzani bila kuzingatia wapinzani hao wanaandamania nini ni udhaifu wa fikra.

Nape, fahamu kuwa matendo yenu ndio yanafanya watu waandamane. Kwa mfano; mtu kuchukua TWIGA wetu na kumpeleka Qatar ni kitendo kidogo hicho mpaka tukae kimya? Makontena ya pembe za ndovu kukamatiwa China ina maana hapa ukaguzi uliyapitisha na hatuoni hatua za wazi zinazochukuliwa, unataka tuwapigie makofi kwa hili?

Kaa kimya Nape. Nenda kamchukue Zitto muende magogoni kwa bosi wenu mkanywe chai
 
Mh si jana nimeskia yupo hoi kitandani huyu makarolite au sio
 
shizukan ningekua natumia pc ningekugongea like,safi sana
 
Last edited by a moderator:
Hata pongezi zenyewe ni za kinafiki tu hizo wala si kutoka moyoni bali alitaka kufikisha hicho kijembe chake kwa kuonewa huruma ya pongezi
 
  • Thanks
Reactions: JGG
Nape naye ni Kamanda!! my foot kwahiyo Chadema ni chama cha kukusanya oil chafu?

:target:tutamfua na kumtoa kamasi za ufisadi kabla hatujam-task kuwa silaha ya maangamizi kwa chama cha magamba.
 
kamanda nape njoo cdm tupige kazi huku!

nape sio kamanda; yule mtoto wa mama tu! Kamanda mpiga mayowe ulishamuona wapi! Kwanza akisimama kwenye jukwaa anaendeleza vibwagizo vya ccm tu - hana jipya huyo - muache aendelee kufuta viatu vya wazee wake. Hata akiambiwa avilambe atakubali huyo!

Hoo! Magamba yataondoka ccm - lini?
Hoo! Nitarudisha heshima ya ccm - wapi?
 
Nape mwaka huu atachanganyikiwa, nadhani ni wakati wake wa kutafuta daktari wa karibu maana akigeuka huku lema, huku Dr slaa, huku lissu kule mnyika!
 
Maandamano ni haki ya wananchi hasa yakiwa ya amani na polisi wanataarifiwa tu ili kuyalinda maandamano na sio kuruhusu au kukataza "katiba ya nchi " .Kwakuwa mishahara yao inatokana na kodi za hawo wananchi hata kama hujaenda shule kabisa unapaswa ujue hilo.Kama kusoma hujui hata picha huwezi kuelewa ndugu
 
Maandamano na kelele za CDM zimesaidia uwajibikaji wa Serikali na CCM hivyo nawapa shime CDM na Lema kuendeleza mapambano na msisite kuandamana pale inapolazimika.
 
Huyu dogo nape atakuwa amebemendwa na mafisadi...yampasa kuelewa wananchi sasa hawahitaji siasa za kushawishiwa kuamini vitu visivyokuwepo bali kwa kutenda na kuonyesha.
 
Hivi Nape ndiye Kova wa Arusha?
Hivi Nape ndiye msemaji wa Gvt A-twn?
Hivi Nape. ndiye kiherehere wa Gvt?
Natamani kumjua mtu huyu na majukumu yake.
Ningependa awe msemaji wa Timu ya taifa,magazeti ya michezo yangeuza makelele yasiyo na mpango kila siku.
 
maandamano kama kawa,kawambia jana lema kuwa sasa anarudi kazini mtaani na bungeni,hakuna rangi ccm wataacha kuona..................pipooooooooooooooooooooooooooooooooooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Huyu dogo nape atakuwa amebemendwa na mafisadi...yampasa kuelewa wananchi sasa hawahitaji siasa za kushawishiwa kuamini vitu visivyokuwepo bali kwa kutenda na kuonyesha.
Hahahaaaaaaaaaaaaa. Nimelipenda sana neno 'kubemendwa'. Kumbe huku jf kuna wataalamu wa hisimu pia
 
Hivi Nape ndiye Kova wa Arusha?
Hivi Nape ndiye msemaji wa Gvt A-twn?
Hivi Nape. ndiye kiherehere wa Gvt?
Natamani kumjua mtu huyu na majukumu yake.
Ningependa awe msemaji wa Timu ya taifa,magazeti ya michezo yangeuza makelele yasiyo na mpango kila siku.

Huyu Nape ni kielehele wa CCM; na kwa sasa ameomba kazi kwenye kituo chao cha redio Clouds FM
 
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha.

Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo.

Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi? Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!

Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!

NAPE wasamehe bure hawa cdm bado ni saccos hakijawa chama kwao haki ni pale wanaptendewa vizuri lakini tofauti ya hapo ni matusi..... na pia nikuwazoea wanachama wa cdm mana kwao hoja ni matusi ya nguoni ...
 
Back
Top Bottom