Hongera Lema! Hongera Chadema!

Hongera Lema! Hongera Chadema!

Oyaaaa Napehivi ule mpango wa kuvuana magamba umeishia wapi ndugu yangu?Mbona kimywa nwa wale uliowaita Magamba tena mapacha watatu wapo Tanzania hii?
Kaka fanya kweli tukuone sio kulalamika tu nakuisifu Ikulu ati leo haijaingilia hukumu lakini kwa kule Arusha usibishe hapa mlikuwepo sana tu kwani wewe mwenyewe ulitangaza kabla hadi ukaitwa kule lol!!Nape kwa saisa zako chafu kama maji yaliyotiririshwa na Hotel ya Tree iliyofungwa hivi karibuni hujamabo.Badilika Nape mwaka waisha huu
 
kaka uungwana huo umeuanza lini ?. Au ni kuweweseka kwa kushindwa wakati uliwaahidi Wanaccm Arusha kuwa wajiandae kwa Uchaguzi wa marudio.
 
Mkuu Nape, Serikali ya CCM haizingatii vifungu vifuatavyo vya katiba yetu ya JMT. Hapo ndipo tatizo. Tatizo si Lema.
attachment.php

attachment.php

Haki.png haki2.png
 
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha.

Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo.

Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi? Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!

Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!

Sema tu Katiba ya sasa hairuhusu, lakin kama matokea ya Urais yangekuwa yanapingwa Mahakamani, Mkwe.re angekuwa Nje kitambo sana
 
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha.

Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo.

Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi? Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!

Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!

Kwani huwezi kutoa pongezi tu zisizo na uzandiki namna hii??.....basi na nyie poleni na maumivu aliyowapa Lema kupitia M4C wakati akiwa nje ya bunge....
 
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha.

Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo.

Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi? Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!

Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!

We umenyesha njia hata kwa haya
1. Kurudisha kadi za ccJ kwa mridhi wa marehemu CCkei
2. Matusi uliyoporomosha huku Jf kwenye threat inayohusu M4C
3. Kuondoa gamba la mafisadi uliopewa chama mkazunguka nchi zima mkiwapa barua na siku 90 wakagoma mkasema kama hawajachukua hatua ni wakati wa chama kuwachukulia hatua mmewachukulia hatua gani mapacha 3??!
 
Nape acha umbea na unafiki lakini hatushangai Wanasisimu mtaendelea hivyo hivyo bado tunawasubiri wasira na mkama watapongeza nao kama kawaida maana wasira naye ni mpinzani tu lakini kavaa sura ya kodoo
 
Jaji Massati, Kimario... Hao huwa ni namba nyngine. Sio wale Voda faster wa JK.
 
Mzee wa CCJ haishi vituko! swali la uzushi vipi ile kadi ya CCJ mzee umerudisha au nawe umeitunza ndani unasubiri CCM ikisambaratika 2015 katika mnyukano wa urais ulale mbele,! Vipi kuhusu t-shirt zile za CCJ ulizigawa au nazo umezitunza mkuu!!!!
 
nEpI we ni mnafiki! toka lini CCM wakwapongezw cdm? hebu tutokee huko! this is the sign of victory! we are on the way 2015 cjui kama hamtakuwa na majimbo mawili nyie! kuwa na mawazo ya kigreat thinkers! wenzako wametulia coz kimewauma........na wewe unaongea bt unaumia kiaina! vua gamba weye....................HONGERA YETU MAKAMANDA...MUNGU IBARIKI CHADEMA......MUNGU IBARIKI TANZANIAhttps://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/target.gifhttps://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/bange.gifhttps://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/cheer2.gif
 
Nnauye Jr

Hivi wewe kumbe huna upeo kabisa!!

Maneno gani ya kipuuzi haya eti Arusha imetulia, waliotulia ni kina nani? na waliompigia kura Lema ni kina nani?

Hiyo hongera ya kinafiki....Ikiulu imeshinda kuingilia kwani kulikuwa hakuna hoja yoyote ya maana ya kupora ushindi wa Lema!

Majaji nao wameanza kuona aibu kwa maamumuzi ya hovyo mnayowaagiza kuyafanaya!! wameona watende haki tu!

Haya sasa iagizeni tume yenu ya uchaguzi iitishe uchaguzi wa ubunge Igunga na S/wanga tukawafanye kitu mbaya!!

Mmmh, ati hongera kutoka kwa nani? Nape Moses Nnauye, yule kada na Katibu wa NEC wa Itikadi na Uenezi wa CCM? Ni hongera, kejeli au fumbo ambalo linahitaji kuteguliwa? Kwa sasa naomba nishughulishe sana akili yangu kuwaza kama ni hongera kweli au fumbo. Yatosha kuamini kuwa ni kejeli na kuiacha ipite tu kama kejeli. Napita tu kwa sasa!
 
Hizi ni pongezi au ni matusi, acha uzandiki Ccm saiv mna maumivu. Na cha moto mtakiona 2015.
 
:target: SHETANI mkubwa nape, fisadi, gamba nape, tena we tulia tu usipo kimbia nchi mapema tutakutupa kwenye kale ka msitu kenu ka Magwepande
 
Safi kaka unaonesha ni namna gani ulivyo mwanasiasa mahiri na msema kweli na ukomavu katika siasa.Ni kweli hawa jamaa haki ni pale wanaposhinda wao lakini wakishindwa ni kelele.Hawa ni kama watoto ni wakuvumiliwa tu.Hata kuwa na kadi mbili babu wao wanao sawa,ila angekuwa anazo zitto ungewasikia wakimtaka ajiondoe chamani.Ni chama ch kikanda,ukabila na udini

Mchango wako una walakini hapo..., mbona unachanganya na mambo ya babu ya kadi 2...! pole sana kw maumivu uliyoyapa kutokana na rufaa toka court of appeal...!
Muhimu kukubaliana na ukweli...,
CCM mnatakiwa kujipanga upya kuliko kupoteza muda na propaganda chafu khs CDM na viongozi wake....!
 
Back
Top Bottom