Hongera Lema! Hongera Chadema!

Hongera Lema! Hongera Chadema!

Hold up, hey
for my niggas who be thinkin' we soft
We don't, play
We gonna' rock it 'til the wheels fall off
Hold up, hey
for my niggas who be actin' too bold
Take a, seat
Hope you ready for the next episode
HeyyyeyyyeEYEYyyyEYYYY....
.... smoke weed everyday!

kwa hisani ya Nate Dogg(RIP)

:majani7:
 
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha.

Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama
hayo.

Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi? Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!

Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!

mpongeze mkeo..sisi chadema hatutaki pongezi za kinafiki..huna jipya kaa kimya..kama ni maandamano tutafanya, arusha ina wenyewe. nikiendelea utasababisha nipigwe ban..
 
Kauli ya nape inaibua maswali mengi,moja je mlitengua ushindi wa Lema ili arusha itulie?,je unadhani chama chenu kilikuwa na nafasi ya kuchukua jimbo la arusha kama uchaguzi ungerudiwa?, siku mh lema anatenguliwa nape ulisema facebook haki imetendeka,je unadhani pongezi zako za leo zinatoka moyoni?,kama ww ulishindwa uvccm na kusema ikulu imeingilia kati je walioko nje ya ccm wasemeje?,mwisho ww ni bonge la mnafiki tena mkubwa sana,na kumbuka haki tz iko mahakama ya rufaa tu kwingine kote ni mahakama ccm,
 
Ilimradi kuna neno HONGERA kwenye hiyo post yako namba moja, hayo maneno mengine tukuachie wewe mwenyewe Nape.
 
Nape, endelea kuchimba kisima, maana "mchimba kisima........!" Kauli zako zitaendelea kukiimarisha CHADEMA siku zote. Jifunze siasa bwana mdogo. Tazama hili ulilolianzisha la Slaa kuwa na kadi ya CCM, ona sasa wataalamu wa sheria ndani ya chadema wanapanga kuibuka na mada kwamba uchaguzi mkuu wa 2010 ulikuwa batili. CCM wlisimamisha wagombea wawili kupitia tume yao ya uchaguzi. Omba mungu slaa asikubali huo ujinga uliouanzisha bila kufikiri. Slaa akiamua kukubali ni kweli mlimtuma unajua madhara yake kwa chama NA TAIFA? Kwa nafasi yako unahitaji moderator, usifikiri unasema kwa kuwa una nafasi!! Hebu weka UTAIFA mbele acha ubinafsi. Hilo ni tatizo la kujipendekeza kwa mtu ambaye unajua kesho hana nguvu, bali wananchi ndio waamuzi. That's a big shame!
 
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha.

Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo.

Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi? Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!

Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!

kuna taarifa nilizonazo kuwa Nape ni SHOGA sasa ninaanza kiziamini by the way huyu mtu aliyenipa hizo taarifa ni senior katika moja ya balozi zetu na amenihakikishia kuwa Nape alikuwa ni chungu chake - sasa ninaanza kuamini. Huwa sina hulka ya kuandika upuuzi na kwa ujumla huwa simchangiaji sana wa mada za JF mimi ni msomaji zaidi wa michango yenu. Lakini inapobidi ukweli usemwe... come what may!! Nape anatabia ya kutafuta shari hata ambapo hakuna shari - tabia za wanawake wakiswahili kama alivyoyeye shoga wa kiswahili!!!
 
Mh Nape toa salamu zako toka moyoni..,
Punguza wivu, chuki na itikadi za kisiasa...., Toa salamu za pongezi kw kijana mwenzako na chama chake. Ifike mahali vijana muweke kando upofu wa mitazamo ya kiitikadi ktk masuala nyeti ya mustakabali wa kitaifa.., haki imetendeka Arusha jiji hilo sasa linafurahia haki yao ya msingi kupatikana.
Nape jnr kukaa karibu na wazee ktk vikao vya CC.., akili na uwezo wako ubadilike sasa.., uwezo uongezeke zaidi.
Vijana wenzio na Taifa kwa ujumla walitegemea uwezo wako na nguvu sasa ingeongezeka ktk kuubadili mfumo wa kiungozi kw kuleta tija, ufanisi na mawazo mapya kw kuwa ww sasa upo karibu zaidi na Mwenyekiti wa CCM na Rais.... Mfano mzuri Yale yote uliyokuwa unayapigania wakati ule UVCCM na miradi yake.., yafuatilie kimaadili uwahabarishe watanzania.., mh mzee wa vijisenti na kamati walifikia wapi ktk ukweli uliotaka ujulikane ktk mikataba ile iliyokuwa na utata...!
Mh Nape kama kijana wachache mliopata bahati ya kuwa ktk uongozi kipindi hiki usiwaangushe wenzio.., uwe mfano wa kuigwa ktk kutetea maslahi ya taifa ktk hali hii ya ufisadi na kuangamiza haki za msingi kw ss watanzania.
Mh lema kw upande wake anapambana...., Je wewe Mr Nape Nauye kupitia nafasi yako hapo lumumba CCM, unapambana ktk kulikomboa taifa hili toka mikononi mwa mafisadi wasiopenda Tanzania yetu....?
 
nachukua nafasi hii kuwapongeza chadema na mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya ubunge wa arusha.

Nilidhani na leo mtasema ccm, nape na ikulu wameingilia kesi....mkishinda haki imetendeka, mkishindwa kuna mikono ya ikulu...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo.

Mdogo wangu lema umeiona arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi? Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!

Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. Narudia kwa hili hongereni chadema,hongera lema!!!

ni lini utaacha kuwa mnafiki nape jr.......kama ulilijua hili kwanini mliwashawishi hao wapambe wenu kufungua kesi isiyo na miguu hata kichwa?kwanini mlitumia pesa za walipa kodi kufake case kwa kumtumia hakimu.....haki kutendeka si ombi katika nchi zilizoendelea na si tanzania chini yenu ccm....ushindi huu una umelazimishwa kwa mikakati mizito hususani baada ya tundu lisu kuingilia kati, ukikumbuka alishamvua bozi wako kwa fact ya kuvunja katiba ya nchi kuchagua vimeo katika mahakama...hamkuwa na jinsi waizi nyinyi.....hivi utamdanganya nani ya kwamba ikulu haikuingilia hii kesi tokea mwanzo.?do u remember makamba alimwambiaje lema kabla ya kuvuliwa ubunge? Furahi sana kuwa haya yanatokea tanzania pekee kwani ingelikuwa katika nchi nyingine kilaza kama wewe leo ungelikuwa unanyea ndoo....
 
Nape anapambana wapi mkuu? Ninahofia sana kundi la vijana walio katika nyadhifa za uongozi huko magambani. Nilishtuka sana pale kijana mmoja alipoteuliwa eti kisa anaweza kutukana chadema na alifanikiwa hata kuchana hotuba ya bajeti ya moja ya wizara za kambi ya upinzani. Hivi kweli hiyo ndo sifa? Ona kwenye mkutano kule mwanza, mtu mzima na akili zake mwenye familia anapokea mchango eti wa kulipia kadi ya Dr. Slaa huku akijua ni hewa! Jamani mnatuaibisha sana ninyi vijana.
 
Ahsante sana Kiongozi wa CCJ. Tunapokea pongezi hizi za kutoka kwa mpinzani mwenzetu mwana ccj
 
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha.

Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo.

Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi? Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!

Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!
Cheo hicho ulicho nacho kilifuata baada ya wewe kupewa U-DC.
Kumbuka wewe uliondolewa kwenye kura za Maoni CCM jimbo la Ubungo na ukalalamikia Mafisadi na Siasa Chafu Ikulu !!
Kufuatia hili ulitaka kuhama CCM mpaka Kikwete alipotuma ujumbe kukufuata na kukuahidi kuwa utapewa kazi nyingine (U-DC) na sasa umepewa katibu Mwenezi !!! Nani asiyekujua ???
Nyamaza Kimya tuta anika kila kitu hapa!!!
 
Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo.
Ndio maana mahakama ya rufaa ipo ili kama haki haikutendeka chini (ambavyo ndivyo majaji wamethibitisha) unaidai kwa mahakama ya rufaa.
 
Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi? Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!
Watawala watende haki, maandamano hayatakuwepo. Ujue pia haki za vyama vya siasa zinaruhusu maandamano.
attachment.php

attachment.php

sheria.png mikutano.png
 
Who is this idiot nape? Is she or he?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nna imani Tundu Lissu ana mchango mkubwa sana kwenye hukumu hii,hasa baada ya kuanika uozo wa majaji tulio nao.Uchakachuaji wowote wa kesi hii,jamaa angekuja na facts za kuwamaliza hawa jamaa."Big up Tundu"
 
Naona hata Mahakama zimekataa kuburuzwa na CCM. Nnauye Jr mdogo wangu umechemka!

Hizi ni rasha rasha tu. Masika ya mabadiliko mtayaona 2015! Watu wamechoshwa na porojo zenu na ufisadi wenu. KANU waliapa kuitawala Kenya milele. Leo wako wapi? Hamkujifunza?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom