Hongera Lema! Hongera Chadema!

Hongera Lema! Hongera Chadema!

Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha.

Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO

YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi? Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!

Kiongozi ni
kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!
Kweli huyu jamaa ni vuvuzela kaota kitumbo cha ufisadi eti Kamanda Lema ashakuwa mdogo wake,magamba acheni dharau!!!!
 
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha.

Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo.

Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi? Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!

Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!

Mnafiki mkuu,

Umeshindwa kujuzuia kutoa hongera kwa sababu hukutegemea pamoja Na mbinu zenu zote za kifisadi na kidhalimu haki imejitenga dhidi ya dhurma!
 
Safi kaka unaonesha ni namna gani ulivyo mwanasiasa mahiri na msema kweli na ukomavu katika siasa.Ni kweli hawa jamaa haki ni pale wanaposhinda wao lakini wakishindwa ni kelele.Hawa ni kama watoto ni wakuvumiliwa tu.Hata kuwa na kadi mbili babu wao wanao sawa,ila angekuwa anazo zitto ungewasikia wakimtaka ajiondoe chamani.Ni chama ch kikanda,ukabila na udini

Do Santos, Wewe ni kiazi kweli kweli hivi unaporopoka kuwa Chadema ni chama cha kikanda,kikabila na kidini kweli akili yako iko sawa sawa???, wewe ni mshamba mkubwa unakula na kuharisha+kutapika hapo hapo,
Hivi nakuuliza je sisi Majimbo wa Bushirombo,Maswa mash, Maswa Magh,Kisesa,Ukerewe na Nyamagana,Moshi,rombo Hai,Mbeya, na Iringa mjini tunauhusiano gani wa Kikanda,Kidini na kikabila,Je wasukuma,wahehe,wachaga, wanyakyusa na Wambulu wa Karatu tunaukanda,upi na ukabila upi????, haki ya mungu wewe Do santos ni pusiii wa kike,tena ni mbumbumbu jiografia ya Tanzania, hujui kitu bora ufunge domo kama karai,unaropoka ropoka tu kama malaya.
 
Siku hizi Nape ndiye msemaji wa serikali??? Hivi anaijua kazi yake kweli????!!!
 
Who the hell is she?? Ts better for her to shut her buccal cavity bse its stinking!
 
Nape mwaka huu lazima kamasi za ugoro zimtoke sana atasaluti tu hata kwa manati.atasubiri sana kupolomoka kwa CHADEMA hadi mashavu yatamteremka hapa kazi tu note this Chadema ni sauti ya mungu.
 
Sio tu Twiga huyo kafikaje huko, hilo haliwezi kuonekana kuwa ni kitu...kuna haka kasheria ka kukamatwa na nyama ya Twiga....we kamatwa una nusu kilo majibu yake utayapata. Kuna mbunge mmoja mwanamama, simkumbuki jina....kila akisimama bungeni wabunge wote wa Magamba wanaanza kwa kumcheka. Naye bila soni wala hata bila kusalimia anaanza hivi "Mhe. Spika Mjusi wetu anarudishwa lini"..Wabunge wote hoi kwa kicheko, anaendelea.."Mheshimiwa spika narudia kwa kuuliza ni lini Mjusi wetu atarudishwa hapa nchini toka ujerumani" Na anakuwa mkali kweli...Sasa na mimi nasema "Twiga" Lini Twiga wetu atarudishwa nchini?

Kama Nape aliona kimya Arusha, na ana busara, basi ategemee MSHINDO.

Maandamano huwa hatuandamani tukiimba 'hoya hoya hoya, kiboko msheli...!!', huwa tunalaani mambo mabaya yanayofanywa na CCM. Kubeza maandamano ya upinzani bila kuzingatia wapinzani hao wanaandamania nini ni udhaifu wa fikra.

Nape, fahamu kuwa matendo yenu ndio yanafanya watu waandamane. Kwa mfano; mtu kuchukua TWIGA wetu na kumpeleka Qatar ni kitendo kidogo hicho mpaka tukae kimya? Makontena ya pembe za ndovu kukamatiwa China ina maana hapa ukaguzi uliyapitisha na hatuoni hatua za wazi zinazochukuliwa, unataka tuwapigie makofi kwa hili?

Kaa kimya Nape. Nenda kamchukue Zitto muende magogoni kwa bosi wenu mkanywe chai
 
Huyu jamaa utafikiri hafikiriii....maanadamano ya Arusha wanaanzisha wana Arusha wenyewe kwa mapenzi ya viongozi wao. leo si umeona huo mziki?, utaumia sana Nape!
 
Nape hana jipya! Anampongeza Lema kwa lip? Tunamkaribisha CHADEMA BABA LAO!
 
Kwa kile kinachoonekama kama kishindo cha Lema kuwaelemea CCM , Nape ameandika ifuatavyo kwenye Fb yake.

HONGERA LEMA.,HONGERENI CHADEMA...!

Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha...!

Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...!
Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo.

Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi? Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!

Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo.

NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!
Unafiki na kujipendekeza vitakupeleka pabaya.Ukitaka tusiandamane Rudisheni meno ya tembo waliouliwa na KINANA (katibu wako) Epa na pesa za uswiss(CCM+KINANA=WEKA MBALI NA TEMBO)
 
Safi kaka unaonesha ni namna gani ulivyo mwanasiasa mahiri na msema kweli na ukomavu katika siasa.Ni kweli hawa jamaa haki ni pale wanaposhinda wao lakini wakishindwa ni kelele.Hawa ni kama watoto ni wakuvumiliwa tu.Hata kuwa na kadi mbili babu wao wanao sawa,ila angekuwa anazo zitto ungewasikia wakimtaka ajiondoe chamani.Ni chama ch kikanda,ukabila na udini

Mtabaki na mawazo ya "KAUNDA" mpaka watu wanaingia ikulu. Kaunda alikuwa anacheza bao walipomtangaza Chiluba kuwa Rais wa Zambia. Endeleeni na mawazo ya Kaunda!
 
kweli kijana nape unakoma vibaya kwa bongezi za kinafki plz acha ushabiki plz acha kujiona mjanja wewe ni kichwa maji mzee wako hakuwa hivi "Hivi utulivu unauzungumzia arusha ni upi kuwaibia mama zetu kupitia mgambo au kuwapora wamachinga kupitia mgambo
 
Nape unapongeza wana Chadema na Mh. Lema kushinda kesi.

Nawe maliza kazi ya kuwavua magamba pacha watatu, ili nawe tukupongeze.
 
Kwa kile kinachoonekama kama kishindo cha Lema kuwaelemea CCM , Nape ameandika ifuatavyo kwenye Fb yake.

HONGERA LEMA.,HONGERENI CHADEMA...!

Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha...!

Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...!
Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo.

Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi? Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!

Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo.

NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!

Toka nijue kuwa nape ni mtoto wa nje ya ndoa nilimdharau sana....mtoto aliyelelewa jalalani kama nape hawezi kuisha ujinga kama huo alioandika fb
 
kumbe nape upo je utawaelekeza cdm mpaka lini mbana ccm huwaelekezi kuachana kujificha njuma ya walinda usalama ambao ni wetu sote
 
Ni aibu na kuikosea heshima Ikulu kwa kulinganisha Ikulu na Nape....who is she sorry is he lakini? Ikulu?? No no hayupo serious
 
nimesoma comment yako,nimemwomba Nape asikujibu coz najua mama yako alilala na mbwa ndo ukazaliwa,so huwezi kuwa na akili nzuri hata kwa dawa!
Toka nijue QUOTE=Elli;5285629]Ni aibu na kuikosea heshima Ikulu kwa kulinganisha Ikulu na Nape....who is she sorry is he lakini? Ikulu?? No no hayupo serious
 
Back
Top Bottom