AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,049
Wanachadema tunapokea hongera yako kwa tahadhari kubwa!
Sisi tunawapa pole kwa kuwategulia mapandikizi mliyoyaleta kwetu kutuvuruga!
Ahsante kamanda!
My may b 4 addition ni hivi.
Salamu zikufikie Nnauye Jr kuwa ule mpango wao wa kudhoofisha CHADEMA kupitia kijana wenu Zitto a.k.a PREZOO na kundi lake la PM7 kuwa huku mambo yote juani kupitia kamanda Ben Saanane labda watafute mbinu nyingine.
Last edited by a moderator: