Hongera Lema! Hongera Chadema!

Hongera Lema! Hongera Chadema!

nape acha unafiki na wivu. Kuandamana ni haki yetu ya msingi .mbona nyie wakati nna mleta jangili arusha mliandamana lakini hamkupata watu ,mkazomewa kila mliko pita. Kunya anye kuku akinya bata mnasema kaarisha.
 
nimesoma comment yako,nimemwomba Nape asikujibu coz najua mama yako alilala na mbwa ndo ukazaliwa,so huwezi kuwa na akili nzuri hata kwa dawa!
Duuhh, mkuu tumia tafsida basi kidogo, maneno makali sana bana!
 
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha.

Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo.

Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi? Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!

Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!

Cjawah kuona jianaume limbea km ww, hiv ww ulizaliwa cku taarabu inazinduliwa tanzania nn? na vip ukiwa ww na mkeo huko ndan vijembe mnavyopeana havitosh mpk uje ulete kwny media? hiv unadhan kuwa katibu mwenez wa mafisad ndio umepewa nchi? acha ujinga ww km elimu yako uliteleza kwny ganda la ndizi kaa kimya, mwenzio wasom hawako ivyo. unapoandika ki2 fikiria kwnz. nakudharau sn.
 
Back
Top Bottom