Hongera lady jaydee............

Mbona azam, unga wa bahresa yote hayo ni majina ya watu na mnafagilia?

Pafyumu nyingi ni za majina ya mastaa wa nje na mnafagilia?

Azam ni jina la kampuni, ngano zake zinaitwa, azam A, ngano poa, nk. ni kweli wakati mwingine ukiweka jina kama brand unapoteza wateja fulani though not always.
 
She made it, she will make more than this if she stays focused. And once more, as usual we are attacking her branding which I know it will survive.
We are supposed to support her, I have seen a lot of wines and whiskeys with names like Robertson, John Walker, etc and we are taking them without questioning. Lets give her hands.
 
At least for this- you can. ..Si unaona eeh, kawaida tunaanzia ground zero na kukua taratibu. Lakini ile habari yako ya kununua ndege ingekutesa bure!...
 
Mbona azam, unga wa bahresa yote hayo ni majina ya watu na mnafagilia?

Pafyumu nyingi ni za majina ya mastaa wa nje na mnafagilia?
Azam ni jina la mtu gani??!!! Mkuu acha kuchanganya madesa mmiliki wa Azam anaitwa Said Salim Bakhresa. Inawezekana Azam likawa jina la mtu lakini siye anayemiliki hyo brand. kwa hapa bongo hilo jina linaweza kumuua acheni ushabiki.
 
Hongera sana JayDeee afadhali ya wewe unaona mbali kuliko yule anayejiona eti superstar kwa sababu kaolewa na MZUNGU na ana ka blog kanamtia wazimu na kutukana wenzie. BIG UP JIDEE wewe ni mfano wa kuigwa
We naye, umeshindwa kuchangia bila kuanzisha small talk??
 
I have seen a lot of wines and whiskeys with names like Robertson, John Walker, etc and we are taking them without questioning. Lets give her hands.
Hao wenye hayo majina hatuwajua personally kwahiyo mtu hawezi kusema simpendi John Walker so sinunui brand yake..ila yeye kwavile anajulikana mtu atanunua kutokana na mapenzi binafsi kwa JayDee na sio kwakuhitaji kilichobrandiwa...kitu ambacho kitamnyima wateja wasiompenda!!
 
Pongezi wasanii wa bongo, mnaonesha focus sana kuwa usanii siyo pombe, misifa bangi na ngonolism. wapeni darasa hao wengine ambao bado wapo huko. Kaanza Mr. Sugu, sasa Jay dee
Wasi wasi wangu ni kwenye brand name, kwani walokole wanaweza yaita kidunia. Kumbuka Jay Dee ni lebo yake ya muziki ambayo inahusu kundi fulani katika jamii. Maji kuyaita hiyo lebo maana yake bado anafocus kwenye hilo hilo soko la bongo flavour, mashekh na wote wenye kuchukia bongo flavour wanaweza wasikuunge mkono regardless of what quality it can be.
 
kama huwezi kuyanywa sifa za nini dada? nafikiri hilo jina si sahihi kwenye kwenye kinywaji kama maji, sijaona bado na simfagiliii haa kidogo.
 
wabongo nuksi,ila yangeitwa Beyonce hapa kila mtu angesifia,penye sifa tutoe jamani bint anajitahidi sana

Shosti, uko sahihi kusifia mtu wa kwetu.... lakini jamani, hivi huko kwa akina Beyonce kwenyewe vinywaji au/na vyakula huwa vinapewa majina ya hawa ma-celebrity kweli? Kweli??
Mnaoishi huko mtuhabarishe maana mi sijawahi kusikia!
 
soko la maji kwa sasa linaushindani na kuna maji ambayo
tayari yameshika soko. jay dee kuingia sokoni kwa jina lake
kutampa fursa la angalau kushika sehemu ya soko ambalo
wateja watanunua kwa sababu ya jina lake. wateja hawa wa awali
ndio wanategemewa kutangaza ubora/uzuri wa maji hayo kwa wengine
(si lazima matangazo yawe kwa tv/radio/gazeti hata njia ya mdomo inafaa)
na hivyo kukuza ukubwa wa soko la maji hayo.

mtihani mkubwa kwa jay dee ni yeye kujiona kama ni "brand" na hivyo
kuilinda hiyo brand vyema a.k.a kutolichafua jina la jay dee kwa kashfa
mbali mbali.

sijui kama jay dee mwenyewe au washauri wake anaomtazamo kama nilioueleza hapo juu.
 
naamini inategemea uwezo wa wateja watarajiwa na ukubwa wa soko tarajiwa. mathalani
soko la marashi na uturi bahati mbaya "macelebrity" wetu sehemu kubwa ya umaarufu wao
upo bongo hivyo itabidi watarajie kufanya sehemu kubwa ya mauzo yao bongo. mtihani
ni jee wangapi kati ya mashabiki wao wana uwezo wa kununua marashi hayo kwa
wingi ili kurejesha faida? zingatia pia marashi hununui kila siku. nadhani kwa maji
kaanza vyema


Shosti, uko sahihi kusifia mtu wa kwetu.... lakini jamani, hivi huko kwa akina Beyonce kwenyewe vinywaji au/na vyakula huwa vinapewa majina ya hawa ma-celebrity kweli? Kweli??
Mnaoishi huko mtuhabarishe maana mi sijawahi kusikia!
 
Hongera Jide!! Wafunguo macho wasanii wa bongo ambao wanatafuta masifa kwenye magazeti badala ya kuwaza mambo ya maendeleo.
Big Up!!
 
hembu tumpe hongera zake wangapi wana uthubutu wa kufanya na kujituma kwa moyo au tumekuwa wapiga porojo tu kwenye ushauri tumpe na sio kuanza kumkandia bila sababu za msingi
 
Hao wenye hayo majina hatuwajua personally kwahiyo mtu hawezi kusema simpendi John Walker so sinunui brand yake..ila yeye kwavile anajulikana mtu atanunua kutokana na mapenzi binafsi kwa JayDee na sio kwakuhitaji kilichobrandiwa...kitu ambacho kitamnyima wateja wasiompenda!!

Haters acheni kumwaga sumu. Panapostahili sifa sifieni hayo mengine ya nini tena?? cha muhimu ni ubora wa bidhaa jina chana nalo we kunywa maji fresh ya Lady Jaydee. Congrats Mrs Mbibo-Gadner Habash. Pamoja daima.
 
Branding ni muhimu sana,ni moja ya kitu ambacho kitakupa wateja au la tokana na wateja watakavoperceive yo brand name!
Sijaafikiana sana na iyo brandname yako coz itahusishwa moja kwa moja na muziki wako so kwa wale wasiokubaliana na, mziki wako maybe hawatonunua maji yako?maybe?customers can be irrational at times!all things must be but at consideration!
Otherwise nice job!ndio ujasiriamali huo sio!big up,

kiukweli hata mimi nimefurai na nitamsupport kwa kununua maji yake.
 
Haters acheni kumwaga sumu. Panapostahili sifa sifieni hayo mengine ya nini tena?? cha muhimu ni ubora wa bidhaa jina chana nalo we kunywa maji fresh ya Lady Jaydee. Congrats Mrs Mbibo-Gadner Habash. Pamoja daima.
We nawe zuzu kweli!Ulipoona namkandia ni wapi...nilichofanya ni kumjibu mtu mwingine!!Ungetoa sifa ukaenda zako ungekua mjanja zaidi...!
 
Back
Top Bottom