Hongera lady jaydee............

Fab

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
757
14
167856_472549911649_590146649_6314011_3093759_n.jpg

Haya wajemeni maji hayooo,ingependeza kama tukimuunga mkono huyu dada yetu...mie mnafagilia sana anajituma sana...keep it up Jaydee!
 
Safi, ila kuyaita maji jina la mtu sijafagilia sana.
 
Upuuzi kwani yeye ndiye chanzo cha maji? Maji yake yanapatikana mlima gani vile???? Hizi promo zingine bila kutumia busara na akili nafsi tatu zitawacost. Maji ni mali ya Tz. si mali ya mtu binafsi. Tengeneza juice iite Lady whatever.
 
wabongo nuksi,ila yangeitwa Beyonce hapa kila mtu angesifia,penye sifa tutoe jamani bint anajitahidi sana
 
wabongo nuksi,ila yangeitwa beyonce hapa kila mtu angesifia,penye sifa tutoe jamani bint anajitahidi sana

sio kusifia tu na kuyanunua kwa bei ya juu. Tupende vyetu na kuaprishieti wazawa jamani.

Congs jide
 
Hongera sana mama kwa kukuza ujasiliamali ila ongea tena na washauri wako, haikuwa stahiki kuita jina lako, kama mtu anachukia au hapendi mziki wako usitegemee kunywa au kukuungisha kwenye maji yako, tafuta jina lingine la kibiashara zaidi ............
 
hayo ndiyo yanaitwa mambo ya "branding" natumainianao watu makini watakaomuongoza katika hili.hongera bibie
 
Mimi namsifia sana JD...ni mdada pekee ambaye ni mbunifu na ni mhangaikaji sana..... I pray for her..
 
Hongera Jide kwani ameweza kuonyesha njia kwa wasanii wengine ni jansi gani wanavyotakiwa kuwa wabunifu na kujishughulisha na kazi mbalimbali zitakazo wawezesha kuwaongezea kipato! big up sana
 
attachment.php


Hongera mdogo wangu, umefanya vizuri pia kumwachisha mumeo kazi ya utangazaji aje kukusaidia kusimamia kiwanda
 
haina noma yuko kimaendeleo zaidi ila angeyaita machozi ingekuwa bomba mbaya
 
Branding ni muhimu sana,ni moja ya kitu ambacho kitakupa wateja au la tokana na wateja watakavoperceive yo brand name!
Sijaafikiana sana na iyo brandname yako coz itahusishwa moja kwa moja na muziki wako so kwa wale wasiokubaliana na mziki wako maybe hawatonunua maji yako?maybe?customers can be irrational at times!all things must be but at consideration!
Otherwise nice job!ndio ujasiriamali huo sio!big up,
 
Upuuzi kwani yeye ndiye chanzo cha maji? Maji yake yanapatikana mlima gani vile???? Hizi promo zingine bila kutumia busara na akili nafsi tatu zitawacost. Maji ni mali ya Tz. si mali ya mtu binafsi. Tengeneza juice iite Lady whatever.


Mbona azam, unga wa bahresa yote hayo ni majina ya watu na mnafagilia?

Pafyumu nyingi ni za majina ya mastaa wa nje na mnafagilia?
 
Hongera sana JayDeee afadhali ya wewe unaona mbali kuliko yule anayejiona eti superstar kwa sababu kaolewa na MZUNGU na ana ka blog kanamtia wazimu na kutukana wenzie. BIG UP JIDEE wewe ni mfano wa kuigwa
 
Back
Top Bottom