Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,628
Asante Msandawe Halisi na Asanteni wana MMU wenzangu kwa pongezi na maneno mazuri. Kwa sasa nipo saloon kujiweka powa tayari kwa kwenda kanisani mchana. Ndoa nitafunga alasiri pale Azania front, tuombeane.
weka picha.