Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Mwanachama mwenzetu, rafiki yangu wa jukwaa pedwa la MMU ambaye anamchango mkubwa kwenye jukwaa hili ndugu kwamtoro leo anaachana rasmi na kambi ya ukapera na kuanza maisha mapya ya kuitwa mume.
Naomba kwa yeyote mwenye neno la kumshauri, kumpongeza afanye hivyo katika hali ya kuonesha upendo baina yetu.
Binafsi namtakia maisha mema ya ndoa yake.
Naomba kwa yeyote mwenye neno la kumshauri, kumpongeza afanye hivyo katika hali ya kuonesha upendo baina yetu.
Binafsi namtakia maisha mema ya ndoa yake.