Hongera Jenerali Mabeyo, bila wewe tusingefika hapa

Wimbo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
886
Reaction score
664
Mh. Salvatore Mabeyo hongera sana, kama si wewe tusingefika hapa tulipo, nikuombe kwa muda utakaopewa na Mungu wa kuishi uandike kitabu na ueleze yote uliyoifanyia Tanganyika. Kutoka kwenye Uvungu wa moyo wako utuambie yote mema na mabaya ili utuachie Historia sahihi ya utumishi wako.
 
on saturday i got a little accident , lost my stuffs. so am kindly offline _20250817_164133_0000.png
 
Hawezi kuandika kitabu huyu, huyu kaishi katika kiapo miaka yote na ni kiapo cha kutunza siri.
 
Kosa sio la mabeyo, yeye alisimami katiba. Kama wananchi mnaona alikosea kwanin hamkuwah kung'aka akiwa bado makamu wa raisi? Hata hivyo tunabahati, hata makamu angekuwa Rostam Aziz au Mwijaku huyo ndo angekuwa raisi.
 
Huyu alipaisha mpira, alibaki yeye na goalkeeper.
Kazi yake ilikua kufunga tu
Ni slow thinkers, ila wana mbinu,

Kiwango cha mataahira wanaomzunguka Samia na matumizi mabaya ya madaraka ni surprise kwa usalama.

Mama amalizi muhula wa pili.

Watch this space.
 
Kosa sio la mabeyo, yeye alisimami katiba. Kama wananchi mnaona alikosea kwanin hamkuwah kung'aka akiwa bado makamu wa raisi? Hata hivyo tunabahati, hata makamu angekuwa Rostam Aziz au Mwijaku huyo ndo angekuwa raisi.
Lipo wazi, kama kuna vitu hatuvitaki tuchukue hatua, haya mambo ya kutegemea fulani angefanya vile ni ujinga na kwa staili hiyo ccm au wahuni au yeyote yule atakayekuja tutaendelea kuburuzwa tu
 
Mh. Salvatore Mabeyo hongera sana, kama si wewe tusingefika hapa tulipo, nikuombe kwa muda utakaopewa na Mungu wa kuishi uandike kitabu na ueleze yote uliyoifanyia Tanganyika. Kutoka kwenye Uvungu wa moyo wako utuambie yote mema na mabaya ili utuachie Historia sahihi ya utumishi wako.
Akatudanganya watz kumbe ni sehemu ya project...Usaliti wa Yuda!
 
Mh. Salvatore Mabeyo hongera sana, kama si wewe tusingefika hapa tulipo, nikuombe kwa muda utakaopewa na Mungu wa kuishi uandike kitabu na ueleze yote uliyoifanyia Tanganyika. Kutoka kwenye Uvungu wa moyo wako utuambie yote mema na mabaya ili utuachie Historia sahihi ya utumishi wako.
Acha upumbavu nchi hii wamepita wakuu wa majeshi wangapi, we nyani ht ye mwenyewe atakushangaa kuiita nchi yake Tanganyika maana hakutumikia hiyo nchi ambayo haipo na we ngedere huifahamu zaidi ya kuwa umejaa ubaguzi na bila shaka ni msukuma ndiyo maana unamjua huyo km mkuu wa majeshi. Unamfahamu Mirisho Sarakikya? Unaijua historia yake? Vijana wa sk hz ni hamna kitu kichwani, zero brain
 
Katiba yenyewe mbofumbofu halafu mnamlaumu Mabeyo. Tatizo walilianza CCM walipojiwekea tu mgombea mwenza bila kujali kama huyo wanayemweka anaweza kuwa Rais kama Raisi atafia madarakani.
 
Mh. Salvatore Mabeyo hongera sana, kama si wewe tusingefika hapa tulipo, nikuombe kwa muda utakaopewa na Mungu wa kuishi uandike kitabu na ueleze yote uliyoifanyia Tanganyika. Kutoka kwenye Uvungu wa moyo wako utuambie yote mema na mabaya ili utuachie Historia sahihi ya utumishi wako.
Huyu mzee wangu alibutua penalty. Ila ni mtu.poa sana namheshimu lile lilikuwa ni kosa la kiufundi tu
 
Msimlaumu sana afande ,nadhani hakujua kama nchi itakuwa hivi ilivyo . Kama angejua sidhani kama angekubali huu upuuzi . Huko aliko nadhani anajuta .
 
Back
Top Bottom