Albano Daud
Senior Member
- Aug 23, 2025
- 187
- 209
Kamfuko kadogo kanathamini zaidi ya mgodi mzima..
MZEE ametukosea sana huyuMh. Salvatore Mabeyo hongera sana, kama si wewe tusingefika hapa tulipo, nikuombe kwa muda utakaopewa na Mungu wa kuishi uandike kitabu na ueleze yote uliyoifanyia Tanganyika. Kutoka kwenye Uvungu wa moyo wako utuambie yote mema na mabaya ili utuachie Historia sahihi ya utumishi wako.