Nampongeza kwa kutumia vizuri pesa zake alizopata kwa madili ya umeya. Hayo mayai ni ya kuzugia tu. Kwenye ubunge hawezi pata kwasababu hana sifa ya kuitwa mwanasiasa. Pia hana ushawishi. Huyo Boniface, Malisa GJ na Yericko waendelee tu kuwa wanaharakati ila siasa za majukwaani hawaziwezi.