Jamesmkude
Member
- May 18, 2015
- 60
- 69
Tatizo la kukosekana kwa chenji kwenye mabenki limekuwa kero kubwa. Unakwenda benki halafu unapewa 2,000, 1,000 au 500 kwenye bundle za 200,000, 100,000 au 50,000 lakini nyingi zikiwa mbovu sana. Tatizo liko wapi? BOT ifanyie kazi kero hii.