Hongera India

Hongera India

Siku ambayo ccm ikitoka tu madarakani mambo yote yatawezekana hata kombe la dunia tutashiriki kwa sababu watu wataanza kutumia akili zao zakuzaliwa na darasani vizuri,sa hivi walio katika nafasi za maamuzi wanatumia mas&*&%%ri kufikiria..

This weekend I have your beers
 
1411718149457.jpg
 
Kweli India wamefanikiwa katika vitu vingi...
 

Attachments

  • treni limejaa-India.jpg
    treni limejaa-India.jpg
    162.6 KB · Views: 92
huyu hawezi kusahau matusi mana kusahau matusi kwake ni sawa na kusahau niqab or the so called hijab nyumban na kubaki bere head

Hebu ngoja aje mwenyewe atakuwa na majibu kamili
 
yah
ni moja kati ya kanuni za maendeleo yaani
'ukishindwa kuvumbua basi iga'
Ukiiga unasema nimeiga sawa, si ndio kanuni za kisomi?, Halafu unajisifia? kwamba tumeega na kufaulu mara moja~!~!!!.
 
Back
Top Bottom