Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,861
- 43,767
@Njepo if wishies were horses' CDM to U could have been history!!
Bahati mbaya kwenu CDM inazidi kupata nguvu!!
Wewe njoo vijini uone ukweli, wacha kujidanganya kwenye keyboard!!
Humu ndani watu mna upeo mdogo sana wa kufikiri na kuanzisha thread. Hiv cc ya CDM ni kina nani?
Mmbeya na wewe BABU SLAA na JOSEPHINE mnaofanya fitna za kumuondoa HALIMA MDEE KAWE ,ili JOSEPHINE agombee mnafikiri hatujui mambo yenu, kaa kushoto wewe choko wa tandale.
Wewe kweli kilaza,unawajua wasemaji wa cdm wewe? ulitaka kila mtu aongee bila itifaki kuzingatiwa? mnyika ni msemaji wa chama kwa kukusaidia! div 5 kweli majanga.
kuna tofauti ya kutoa taarifa na kuwa shabiki wa taarifa unayoitoa...angeishia kutoa taarifa maelezo yako yangejaa mantiki.Unaonyesha ulivyo juha zaidi ya JUHA KALULU,Mnyika ni mkurugenzi wa habari wa chama kwa mawazo yako asiyasemee maamuzi ya chama?Kumbuka anaweza kuwa hayaungi mkono lkn ndio yameshapitishwa hanabudi kutujuza na kuyatetea la sivyo hafai kwa nafasi ya uongozi
usilolijua!!!
busara inakutaka usikilize zaidi kuliko kusema..so hata kama amesema au atakuja kusema,,ni wazi ametumia busara kusikiliza zaidi.ukimya nao una tafsiri nyingi sana, inawezekana moyoni ana fukuto kubwa lakini akiwaza na kuwazua anaona atapoteza so she decided to stay quite
Are you Mnyika?
Kwa wanaojua msimamo wa Mdee, tunaelewa kwa nini yuko kimya!. Pia ameisha jua madhambi ya Chadema kufanya fault finding cherry picking za kuwahukumu watu kwa makosa yao tuu regardless wameifanyia nini Chadema. Anajijua aliingiaje Chadema, what was her inspiration hadi kujoin Chadema. Wewe umemuona Halima tuu?!. Hujiulizi mbona Prof. Safari yuko kimya?.
Pasco
kama baraza kuu litashidwa maamuzi ya kawaida kama haya ,,,basi CDM itakua ni tawi la CCM,,,kama washidwa kuamua kwa umoja dhidi ya kibaraka, msaliti, basi CDM itakuwa si chama makini,,,,,kama watashidwa kufanya maamuzi mepesi kabisa kwa sababu ya kuhogwa je KURA 2015 wataweza kulinda......Kama mimi mwanachama wa kawaida nahasira hivi je mtu ambaye ni baraza kuu itakuaje,,,,,Mimi ningekuwa huko baraza kuu si kumfukuza tu mimi hata MAKOFI angeyapata
Nimekuuliza hivyo kwa sababu unamsema mnyika,Are you Zitto?
Mwalimu J.K.NYERERE """""alieleza kuwa dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu........amin msiamini huu ndo mwanzo wa kutafunana ndani ya CDM na hawatokaa salama milele......., wabunge wote wa CHADEMA kwa namna moja au nyingine tumewajua wapo upande upi! Kimsingi nampongeza Mbunge wa Kawe HALIMA MDEE kwa kukaa kimya, kutotoa neno lolote ambalo kwa namna moja au nyingine lingeendelea kukuza mgogoro! CHADEMA igeni kwa mwana Mama HALIMA MDEE kawashinda busara wanaume wote ndani ya CHADEMA upeo wa kufikiri! Nakushauri usije comment chochote juu ya hili sakata utajijengea heshima kubwa kwa nchi hiii
Huwa sikuelewi kabisa.
Sasa PhD nikisema wewe ni mchochezi utakataa??
Hayo mambo ya Mzee Slaa, Josephina eti wamtoe Halima Kawe umeyatoa wapi??
Dar majimbo ya ubunge yamekwisha???
Wacha kupandiza ujinga, hata feri huwezi kuuza huo upuuzi!!
Mwalimu J.K.NYERERE """""alieleza kuwa dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu........amin msiamini huu ndo mwanzo wa kutafunana ndani ya CDM na hawatokaa salama milele......., wabunge wote wa CHADEMA kwa namna moja au nyingine tumewajua wapo upande upi! Kimsingi nampongeza Mbunge wa Kawe HALIMA MDEE kwa kukaa kimya, kutotoa neno lolote ambalo kwa namna moja au nyingine lingeendelea kukuza mgogoro! CHADEMA igeni kwa mwana Mama HALIMA MDEE kawashinda busara wanaume wote ndani ya CHADEMA upeo wa kufikiri! Nakushauri usije comment chochote juu ya hili sakata utajijengea heshima kubwa kwa nchi hiii
Mwalimu J.K.NYERERE """""alieleza kuwa dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu........amin msiamini huu ndo mwanzo wa kutafunana ndani ya CDM na hawatokaa salama milele......., wabunge wote wa CHADEMA kwa namna moja au nyingine tumewajua wapo upande upi! Kimsingi nampongeza Mbunge wa Kawe HALIMA MDEE kwa kukaa kimya, kutotoa neno lolote ambalo kwa namna moja au nyingine lingeendelea kukuza mgogoro! CHADEMA igeni kwa mwana Mama HALIMA MDEE kawashinda busara wanaume wote ndani ya CHADEMA upeo wa kufikiri! Nakushauri usije comment chochote juu ya hili sakata utajijengea heshima kubwa kwa nchi hiii
Mnyika hakupaswa kujiingiza kwenye hili.hakuwa na sababu ya kujiweka kwenye level ya akina Lema,Msigwa na Sugu.Ni kujidharirisha.
Bila kujua,amejishushia heshima katika hili.