Hongera HALIMA MDEE umeonyesha ukomavu

Hongera HALIMA MDEE umeonyesha ukomavu

Status
Not open for further replies.
Mwalimu J.K.NYERERE """""alieleza kuwa dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu........amin msiamini huu ndo mwanzo wa kutafunana ndani ya CDM na hawatokaa salama milele......., wabunge wote wa CHADEMA kwa namna moja au nyingine tumewajua wapo upande upi! Kimsingi nampongeza Mbunge wa Kawe HALIMA MDEE kwa kukaa kimya, kutotoa neno lolote ambalo kwa namna moja au nyingine lingeendelea kukuza mgogoro! CHADEMA igeni kwa mwana Mama HALIMA MDEE kawashinda busara wanaume wote ndani ya CHADEMA upeo wa kufikiri! Nakushauri usije comment chochote juu ya hili sakata utajijengea heshima kubwa kwa nchi hiii

Huyu na zito lao moja hawezi ongea neno huyu wasaliti wapo wengi tu utawajua kwa matendo yao.
 
Subiri nije niweke nyaraka na audio clips za uthibitisho, huu sio uchochezi HALIMA MDEE kushalalmika kwa uwazi kabisa kuwa SLAA anamuandalia KAWE JOSEPHINE

Weka nyaraka acha maneno mengi kama changu aliyenyimwa ujira.
 
Akili ya mdee huwezi linganisha na makapi mengine ya cdm...kwanza fikiria anaowaongoza halafu ujue lazima akili yako isiwe ya ki-Lema lema
 
Mwalimu J.K.NYERERE """""alieleza kuwa dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu........amin msiamini huu ndo mwanzo wa kutafunana ndani ya CDM na hawatokaa salama milele......., wabunge wote wa CHADEMA kwa namna moja au nyingine tumewajua wapo upande upi! Kimsingi nampongeza Mbunge wa Kawe HALIMA MDEE kwa kukaa kimya, kutotoa neno lolote ambalo kwa namna moja au nyingine lingeendelea kukuza mgogoro! CHADEMA igeni kwa mwana Mama HALIMA MDEE kawashinda busara wanaume wote ndani ya CHADEMA upeo wa kufikiri! Nakushauri usije comment chochote juu ya hili sakata utajijengea heshima kubwa kwa nchi hiii

Mijitu mizima mnaongea umbea na kuwapotezea watu muda, badala ya kuongea mawaziri mizigo ambao bado hawajaondolewa na mgao wa umeme unaoendelea kuwatia watanzania umaskini hasa wajasiriamali ambao wamejiajiri na kusababisha uchumi mbovu. Mko humu mnatumika kupiga zogo eti kuwafanya watu wasahahu matatizo halisi. CCM wajinga sana ni sawa na mgonjwa ambae anasubiriwa kufa ila mashine ndio inayompa uhai alafu anajipa matumaini kwa kumcheka mtu ambae hayuko kwenye hali mbaya kama yake.
 
Ukiwa na assuption kichwani (whether iwe wrong or right assuption) and then assuption hiyo ukaitolea jibu hata ungeeleweshwa vipi bado hutaelewa, mleta uzi una assuption ya cdm na ubaguzi (sina hakika kama hu ni utafiti wako au mapokeo toka kwa wapinzani wa cdm) ambao wengine ubaguzi huo hatuuoni, maana kama issue ni dini (kwa madai ya wana ccm) kuna akina Prof. Safari Abdallah n.k, kama ni issue ya ukabila kuna viongozi wengi tu ambao sio Wachagga au kaskazini, hua sielewi hoja hi msingi wake ni nini, Mlitaka Muislamu akifanya makosa ya utovu wa nidhani CDM asichukuliwe hatua tu kwasababu ya dini yake? Au mtu ambae hatokei kaskazini mwa nchi nae akikosea asichukuliwe tu kwasababu watu watasema CDM kuna ukabila? Hivi kuna upungufu wa akili kama hu kweli? Tusiokua na chama (though mimi kwa sasa ni shabiki mkubwa wa CDM, niliwahi kua pia shabiki wa NCCR-Mageuzi enzi hizo, sijawahi kua na kadi ya chama chochote) tunapongeza kabisa ujasiri hu wa CDM ambao ccm wameshindwa, rejea saga la EPA, IPTL Richmond, Rada n.k, njoo issue ya siku 120 za kuvuana magamba, usisahau issue ya rushwa kwenye uchaguzi na siku 90 zilizotolewa na Mangula, lakini pia kumbuka CDM iliwahi kuwatimua madiwani wake karibu wote wa kule Arusha, wengi wao wakiwa ni Wachagga na Wakristo vile vile, so hoja ya ubaguzi hapo sijaiona hata kidogo, kajipange upya!
 
mkuu hao walioko kimya wengi ni wa upande wa zitto. hawako na mbowe+slaa. wakiongea rungu litawapitia. usione wako kimya hawanachakufanya. hata wale wanaojiweka wazi yanawakuta kama akina yona wa temeke alivyoeleza jana.

Mwalimu J.K.NYERERE """""alieleza kuwa dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu........amin msiamini huu ndo mwanzo wa kutafunana ndani ya CDM na hawatokaa salama milele......., wabunge wote wa CHADEMA kwa namna moja au nyingine tumewajua wapo upande upi! Kimsingi nampongeza Mbunge wa Kawe HALIMA MDEE kwa kukaa kimya, kutotoa neno lolote ambalo kwa namna moja au nyingine lingeendelea kukuza mgogoro! CHADEMA igeni kwa mwana Mama HALIMA MDEE kawashinda busara wanaume wote ndani ya CHADEMA upeo wa kufikiri! Nakushauri usije comment chochote juu ya hili sakata utajijengea heshima kubwa kwa nchi hiii
 
zitto alishaondoka chadema siku nyingi.sijui kwa nini watu hawajaelewa hili.huyu ni ccm mwanzo mwisho!watu walikuwa wanashangaa kwa nini cdm walimvumilia hivyo!maswali makubwa ya kujiuliza sasa hivi na kuyapatia majibu ni kwa nini watu wakigoma wanafanya mambo namna hii?ni kwa nini ccm inafanya kila liwezalo na kwa gharama yoyote kuua upinzani nchini?nani anafaidi:wananchi???nini madhara ya muda mfupi na mrefu ya tabia hii ya ccm kwa taifa ???WASOMI MSIKAE KIMYA TUSAIDIENI!VINGINEVYO ELIMU YENU NI MAJANGA.NAWAKILISHA.

Ndugu kumbuka kutotoa uzito mkubwa kumzungumzia mtu bali issue na Kuzungumzia Kigoma ni ubaguzi. CCM wanafanya lolote ili wabaki kwenye dola. Wana take advantage ya weakness ya the currently most powerfull rival(CDM). Hoja wanazotumia ni zile zile za wakombozi - maadili, ukabila et.c. Kimkakati CDM lazima waonekane kuwa tofauti na uovu huo. CCM hawana hasara kwani ubovu wao unajulikana, mwenye hasara ni CDM kwani anataka kuwa mbadala wa CCM hivyo madoa yoyote hayakubaliki na hasa image ya ukanda lazima irekebishwe haraka, ya udini ni uongo it can be ignored. Ngumu ni ya watu au viongozi Fulani Fulani. Kwa Tanzania kuna mambo ambayo kisiasa hayauziki e.g. ukionekana unatoka daraja Fulani ki uchumi, au una background inayoashiria kutokuwa muaminifu kwa hisia tu
 
TUTU hajafa, kamuulize kama nauli huna weka simu yako hapa tukuchangie, anayechagua kukaa kimya wakati wa usaliti yuko upande wa msaliti, Desmond TUTU. Jipime tena harafu uchangie kama yeye ni bora kuliko LISSU, MSIGWA, MNYIKA etc
 
Mwalimu J.K.NYERERE """""alieleza kuwa dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu........amin msiamini huu ndo mwanzo wa kutafunana ndani ya CDM na hawatokaa salama milele......., wabunge wote wa CHADEMA kwa namna moja au nyingine tumewajua wapo upande upi! Kimsingi nampongeza Mbunge wa Kawe HALIMA MDEE kwa kukaa kimya, kutotoa neno lolote ambalo kwa namna moja au nyingine lingeendelea kukuza mgogoro! CHADEMA igeni kwa mwana Mama HALIMA MDEE kawashinda busara wanaume wote ndani ya CHADEMA upeo wa kufikiri! Nakushauri usije comment chochote juu ya hili sakata utajijengea heshima kubwa kwa nchi hiii
Akili ya nyani kundesha baiskeli.
1507718_504244923030513_309303730_n.jpg
 
Mkuu Njopa, mtu unapoamua kujikomba komba kwa viongozi wabovu, huna haja ya kuandika posti ndeefu, maneno machache tuu yangetosha mfano uliposema utendaji wao unazidi wenyeviti na makatibu wa vyama vyote East and Central Africa,, ingetosha!.
Kiukweli kuna baadhi ya mashabiki wa Chadema sijui wanatumia nini kufikiri?!.

Pasco

Mkuu mbona siku hizi unapaniki sana kuhusu Chadema.?

Kiache Chadema Kife ili ccm itawale milele na hatimae Zitto,Lowasa na Jusa watimize ndoto zako.
 
ni kweli huyu dada ameonyesha ukomavu wa kisiasa, mwana siasa makini huwa anaangalia mda gani aongee, kwa nn anaongea, siyo unaongea ovyo ovyo
 
Kwa wanaojua msimamo wa Mdee, tunaelewa kwa nini yuko kimya!. Pia ameisha jua madhambi ya Chadema kufanya fault finding cherry picking za kuwahukumu watu kwa makosa yao tuu regardless wameifanyia nini Chadema. Anajijua aliingiaje Chadema, what was her inspiration hadi kujoin Chadema. Wewe umemuona Halima tuu?!. Hujiulizi mbona Prof. Safari yuko kimya?.
Pasco

Pasco nimesikitika sana na tabia ya Vyama kufa vikiwa na matumaini ya Watanzania .Hakika nasema Zitto ni ndugu yangu ana makosa makubwa sana na Chadema nao wana makosa yao . Sijapenda kabisa tukio zima na sijaona sababu ya haya yote .Wacha niangalie tu mwisho wake .
 
Tuliwaambia kuwa zitto hafukuziki ndanimya chadema wakabisha ona sasa wanaishia kuvuna aibu kubwa na kulia pasipo msiba chadema ni zitto akiondoka inakufa.

Akili yako finyu inakuongoza hivyo,Lakini Kwa sasa ZZK ni mwanachama wa CDM kwa ufadhili wa Judge.Utamwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom