Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,711
- 1,914
..kwa hili swala la UDSM waangalie vzr...wengi wanachemka...dr kitila, kaka mkubwa, mwigulu ndo usiseme, .....kweli ni kwa vile tu tumechelewa kujiunga CDM....lakini hakyanani wengine tungekuwa huku....PANGECHIMBIKA VIBAYAmimi ningekuwa huko baraza kuu ningemlamba bakora kishenzi!!!halafu ningemtupa dirishani.shenzy kabisa.amekidhalilisha sana chuo kikuu alichosoma.UDSM inaonekana sasa ni mafi kabisa.inatoa wasomi aina ya zitto??udsm ianzishe utaratibu wa kuwafuatilia wahitimu wake.WANAKIAIBISHA MITAANI.WANAKISHUSHIA HADHI.
Mnyika hakupaswa kujiingiza kwenye hili.hakuwa na sababu ya kujiweka kwenye level ya akina Lema,Msigwa na Sugu.Ni kujidharirisha.
Bila kujua,amejishushia heshima katika hili.
Halima is smart lieke asha migiro,anna tibaijuka, and young ladies like me.congrats Halima
...hilo la lingine tuliache.maana kuna magonjwa mengine sio mpaka upime vipimo una fanaya diagnosis on clinical presentation ya ugonjwa wenyewe-eg google ugonjwa unaitwa mania so hayo ya udr tachie sisi ....mimi na wewe tudili na siasa huko kwingine ntakuchanganya tu...watanzania tuna mambo ya kijinga ya kufanyia kazi kwenye makaratasi mimi siangali waraka....naangalia na kuongelea matendo yake toka miaka ya 2009/10....na pia ukiangalia MATENDO yake ya kuisaliti ya karibuni....Hata ukiangalia hoja ambazo zipo nje ya chama ambayo zina maslahi kwa watanzania kama hoja ya mabilioni ya uswisi....ameindesha kiusaliti....kaiteka na mwisho hakuna conclusion yoyote.....zitto ni kimbele mbele lakini huwezi kumskia akiongelea afya, elimu, ajira, usalama and all that yeye ni hoja za kujitengenezea umaarufu tu...posho, mabilioni ya uswisi...na hata hizo hoja hakukua na conclusion yeyote.na mifano ipo mingi tuu...Wewe nadhani akuwa Dokta wa miti shamba. Kwa ninavyojua mimi daktari hatakiwa ku conclude jambo bila kuwa na facts beyond reasonable doubt na ndio maana mgonjwa anafanyiwa vipimo maabara ili kupata uhakika kabla ya kumpa tiba.
Sasa mwenzetu unasema ungekuwa baraza kuu ungemchapa makofi, je ukiachilia mbali waraka wa kumhafua ZZK unaweza kutupa ushahidi kwa nini ZZK anaitwa msaliti, anastahili kufukuzwa na kchapwa makofi?
Wakuja wewe ndio maana ujui Prof. Safari alivyo sema taarifa kwavyombo vya habari kuusu uzushi unaoenezwa kwenye mitandao kuwa sikubaliani na maamuzi ya cc nakubaliana cc kwa asilimia mia kwani kwenye cc me'nimjumbe nanilifanya maamuzi.
Mwalimu J.K.NYERERE """""alieleza kuwa dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu........amin msiamini huu ndo mwanzo wa kutafunana ndani ya CDM na hawatokaa salama milele......., wabunge wote wa CHADEMA kwa namna moja au nyingine tumewajua wapo upande upi! Kimsingi nampongeza Mbunge wa Kawe HALIMA MDEE kwa kukaa kimya, kutotoa neno lolote ambalo kwa namna moja au nyingine lingeendelea kukuza mgogoro! CHADEMA igeni kwa mwana Mama HALIMA MDEE kawashinda busara wanaume wote ndani ya CHADEMA upeo wa kufikiri! Nakushauri usije comment chochote juu ya hili sakata utajijengea heshima kubwa kwa nchi hiii
Mnyika disapointed me katika hili sakata.
Shetani anamshauri Malaika.Mwalimu J.K.NYERERE """""alieleza kuwa dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu........amin msiamini huu ndo mwanzo wa kutafunana ndani ya CDM na hawatokaa salama milele......., wabunge wote wa CHADEMA kwa namna moja au nyingine tumewajua wapo upande upi! Kimsingi nampongeza Mbunge wa Kawe HALIMA MDEE kwa kukaa kimya, kutotoa neno lolote ambalo kwa namna moja au nyingine lingeendelea kukuza mgogoro! CHADEMA igeni kwa mwana Mama HALIMA MDEE kawashinda busara wanaume wote ndani ya CHADEMA upeo wa kufikiri! Nakushauri usije comment chochote juu ya hili sakata utajijengea heshima kubwa kwa nchi hiii
Mwalimu J.K.NYERERE """""alieleza kuwa dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu........amin msiamini huu ndo mwanzo wa kutafunana ndani ya CDM na hawatokaa salama milele......., wabunge wote wa CHADEMA kwa namna moja au nyingine tumewajua wapo upande upi! Kimsingi nampongeza Mbunge wa Kawe HALIMA MDEE kwa kukaa kimya, kutotoa neno lolote ambalo kwa namna moja au nyingine lingeendelea kukuza mgogoro! CHADEMA igeni kwa mwana Mama HALIMA MDEE kawashinda busara wanaume wote ndani ya CHADEMA upeo wa kufikiri! Nakushauri usije comment chochote juu ya hili sakata utajijengea heshima kubwa kwa nchi hiii
Yani mawazo yako kila anayetoa wazo lisilokufurahisha basi ni CCM!!Kwani wewe ni nani? wewe unaishi kwa vihela vya CCM ndio unataka kutishia watu hapa nyambaf
Unajua kura ya Halima Mdee kwenye maamuzi ya CC ilikuwa vipi?
Labda kwanza wala hukuwa unajua kuwa Mdee ni mjumbe wa CC nahisi!
Viroba vinamaliza sana uwezo wa kufikiri wa vijana wetu!
Are you Mnyika?You also disappointed Mnyika katika hili sakata! !
Mnyika hakupaswa kujiingiza kwenye hili.hakuwa na sababu ya kujiweka kwenye level ya akina Lema,Msigwa na Sugu.Ni kujidharirisha.
Bila kujua,amejishushia heshima katika hili.
PhD Wacheni kutunga maneno ya uongo, kwa mwanamke mtu kama wewe ni mmbeya!!
Wacha kuchonganisha watu hypocrite mkubwa, mwana wa Lumumba!!
Halima is smart lieke asha migiro,anna tibaijuka, and young ladies like me.congrats Halima