Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,148
Tumekuwa wngi tukisubiri habari za msiba si haba kushukuru mungu kwa habari za furaha pia furahini kwa kila jambo mchana huu dada yangu upendo augustino mfanyakazi wa rwandair amepata mtoto wa kiume mungu ni mwema na fadhili za ke ni za milele si mbaya ukiwa unaitaji mtoto usomapo furha hii mwombe mungu si mbaya ukapata nguvu na uweza wa mungu kuweka kiumbe tumboni mwako ikawe kwako in jesus name
mungu awabariki mumeo na wote mliowaombea kwa nyakati moja ama nyingine wakati wa ujauzito
sifa kwa mungu
mungu awabariki mumeo na wote mliowaombea kwa nyakati moja ama nyingine wakati wa ujauzito
sifa kwa mungu