Hongera Clement Mzize kushinda Goli bora (CAF)

Hongera Clement Mzize kushinda Goli bora (CAF)

Kweli wanazengo wana hasira na huyu Kizimkazi
Watu wanaitamani D9
Anyway hongera sana Mzize
 
Bahati mbaya hakuwepo kupokea tuzo yake sababu ya kufanyiwa upasuaji...

Ila lile kombora lilikuwa koma mwana...
 
Bahati mbaya hakuwepo kupokea tuzo yake sababu ya kufanyiwa upasuaji...

Ila lile kombora lilikuwa koma mwana...
Tumuombee apone haraka arudi kwenye majukumu yake ya kuchukua goli bora kila.mwaka
 
laZima Tanganyika upate uhuru
Tumechoka na utekaji, mauaji na ufisadi
mtapata wala usijali, ata wale waliopo mwananyamala si wamepata uhuru wao ila hawa wa dec 9 watapata uhuru uku wamepakwa mafuta picha zikiwa zinangaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom