Hongera Bill Nass na Nandy kwa kufunga ndoa

Hongera Bill Nass na Nandy kwa kufunga ndoa

amadala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2017
Posts
4,276
Reaction score
12,378
Hongereni Bill Nass na Nandy kwa kufanya maamuzi mazuri, ndoa yenu ikawe ya heri na baraka.

Hongereni tena kwa kuwa mfano kwa wasanii wenzenu kuwa inawezekana mkinia jambo lenu.

Hakika mnatoka kwenye familia zenye misingi ya malezi ndio maana leo mmekula kiapo. Kongolee once again 💋
 
ana kalibishwa na kitimoto ndio chakula pendwa
IMG_8382.jpg
 
Hongereni Bill Bass na Nandy kwa kufanya maamuzi mazuri, ndoa yenu ikawe ya heri na baraka.

Hongereni Tena kwa kuwa mfano kwa wasanii wenzenu kuwa inawezekana mkinia jambo lenu.

Hakika mnatoka kwenye familia zenye misingi ya malezi ndio maana Leo mmekula kiapo. Kongolee once again 💋
View attachment 2292811
Nandi ndio anaoa.
 
Wale wanao kula nauli wacha waendelee kula nauli
 
Back
Top Bottom