Hongera Bi. Elsie Kanza, mshauri wa Uchumi wa Rais Kikwete!

Dada Regia umesahau kuwa hata JK katika miaka yake ya hamsini na alijiita kijana??nampa Hongera zake...tunaomba tu atuwakilishe vyema!!

Lakini sio Tanzania iliyomchagua.Je na huko kwa wenzetu hawana limit za umri wa ujana?jus want to know.

By the way,nakutafuta sana we mdada.Twende chemba..
 
Ndio maana uchumi wa TZ uko ICU.

Hawa washauri wa rais actually wana "Papers" (yaani vyeti) lakini hawana kitu hata kidogo. Kuna waziri mmoja ktka Serikali ya rais Mbeki (South Africa) ambaye hakuwa ameonja hata secondary education lakini akiwa waziri wa uchumi (fedha nadhani) uchumi wa SA ulikuwa kwa kiwango cha kutisha.

From the foregoing, mshauri wa rais katika mambo ya uchumi halafu uchumi unakuwa hivi, halafu anapewa tuzo, hapa kuna mchezo mchafu sana. Hawa Wakoloni wanampa tuzo essentially kuviletea sifa vyuo vyao, ili wanafunzi wengi zaidi waweze kwenda kusoma huko ili vyuo vipate pesa!

Changa la macho hilo, hamna kitu.

Nawasilisha.
 
Mkuu katika kutengeneza economic policy ya nchi inafaa uwe umeshiba vizuri uchumi na kufahamu kwani inategemea zaidi na mazingira ya nchi husika.

Ukitazama CV ya huyu amesoma Bsc ya Business Administration ambapo sidhani kama kuna uchumi humo au zaidi litakuwa ni somo moja la uchumi. Inawezekana ikawa Microeconomics, kwenye macro hawagusi hawa. Vilevile mshauri anatakiwa awe amebobea katika fani husika ili awe na scenarios mbali mbali katika kumshauri rais.

Sasa maswali ni je Tanzania hakuna wachumi waliobobea? Pili ameandika wapi au kufanya kazi gani za uchumi kuonyesha na yeye amebobea?

Kwa hiyo huyu mshauri ri wa uchumi wa rais taaluma yake yeye ni mhasibu na si mchumi. ? may be anaweza kuwa human resoruce nzuri akiwa Mhabsibu mkuu wa rais.

Kuna misallocation of resouces sababu ya siasa na kisingizio cha usalama ikulu na tanzania nzima . Maproffesor kuhongwa uwaziri ni mis allocation of resource na huyu dada kuwa mshauri wa rais kwenye uchumi inaweza kuwa misallocation. .

B
ut kwa ikulu usishangae wao wanasema Vetting. Si unajua wanasema mambo ya security.

  • So utakuta ni kakundi fulani ka watu wacahche ndo kanapennya kirahisi kwenye vetting zao. teh teh teh. May be wachumi wote waliobobea chujio la vetting wanahsindwa
  • Inakuwa rahisi hata kumfanya mfagiaji awe mchumi wa ikulu as long as vetting yake iko 100% lakini kwa mchumi halisi mwenye vetting yenye 70% akaonekana vey risky
 
Lakini sio Tanzania iliyomchagua.Je na huko kwa wenzetu hawana limit za umri wa ujana?jus want to know.

By the way,nakutafuta sana we mdada.Twende chemba..

Tanzania haijamchagua....thats very clear dada....ngoja tumpongeze then tumsihi akatuwakilishe vyema!!
 
Hmmm...ngoja niingie machimboni kutafuta data zaidi...kisije kikawa kama University of Phoenix au DeVry....

University of Phoenix inashida gani mkuu? Ninavyofahamu mimi ni private accredited Univ. Iko US main campus ni Arizona. Unaweza pia ukasoma kwenye small campuses zilizoko ATL, TN, VA etc. Na pia wanatoa kozi online.
 
Acheni ushabiki na hoja mbofumbofu jamani. Mbona hamuulizi Williams College ina hadhi gani mmeng'ngania USIU-A tu?

Kubobea kwenye taaluma ya uchumi siyo hoja vilevile: Larry Summers, mmoja wa Wataaluma wa juu kabisa Marekani wa mambo ya Uchumi, na Msomi wa kuotea mbali aliyewahi kuwa Mkuu wa Chuo cha Harvard mbona alijuzulu cheo cha Mshauri Mkuu wa Uchumi wa Obama mwaka jana? Hakuna la maana alilomsaidia Obama, na uchumi wa Marekani bado unadidimia kila kukicha.
 
Ndio maana uchumi wa TZ uko ICU. Hawa washauri wa rais actually wana "Papers" (yaani vyeti) lakini hawana kitu hata kidogo. Kuna waziri mmoja ktka Serikali ya rais Mbeki (South Africa) ambaye hakuwa ameonja hata secondary education lakini akiwa waziri wa uchumi (fedha nadhani) uchumi wa SA ulikuwa kwa kiwango cha kutisha. From the foregoing, mshauri wa rais katika mambo ya uchumi halafu uchumi unakuwa hivi, halafu anapewa tuzo, hapa kuna mchezo mchafu sana. Hawa Wakoloni wanampa tuzo essentially kuviletea sifa vyuo vyao, ili wanafunzi wengi zaidi waweze kwenda kusoma huko ili vyuo vipate pesa!

Changa la macho hilo, hamna kitu.

Nawasilisha.

Mkuu huyu hata Cheti cha uchumi hana!!!
 
University of Phoenix inashida gani mkuu? Ninavyofahamu mimi ni private accredited Univ. Iko US main campus ni Arizona. Unaweza pia ukasoma kwenye small campuses zilizoko ATL, TN, VA etc. Na pia wanatoa kozi online.

University of Phoenix ni diploma mill...need I say more?
 
Acheni ushabiki na hoja mbofumbofu jamani. Mbona hamuulizi Williams College ina hadhi gani mmeng'ngania USIU-A tu?

Kubobea kwenye taaluma ya uchumi siyo hoja vilevile: Larry Summers, mmoja wa Wataaluma wa juu kabisa Marekani wa mambo ya Uchumi, na Msomi wa kuotea mbali aliyewahi kuwa Mkuu wa Chuo cha Harvard mbona alijuzulu cheo cha Mshauri Mkuu wa Uchumi wa Obama mwaka jana? Hakuna la maana alilomsaidia Obama, na uchumi wa Marekani bado unadidimia kila kukicha.

Afadhali Larry Summers alijiuzulu! Hawa wa kwetu na huu uchumi tulionao wanatakiwa kutandikwa mijeledi na kufunga maisha with no parole.
 
hongera za nini wananchi wanaweza kuwapiga mawe au wakaandamana uchumi wenyewe ndo huu huyu mshauri ni kiboko hivi hawa jamaa huwa wanaangalia vigezo gani au porojo za jk.Kwa hiyo hapa ndo anafanya vizuri je akikosea uchumi utakuwaje si kiama.
 
Kamalaika United States International University | About USIU unaijua ni domain ya wapi? Kenya sasa chuo cha marekani vp kiko Kenya? Tukitazama hiyo Western College siasa nyingi tu humo ndani ukitaka link hii hapa:-

www

Swali langu ni Us International University iko marekani? Kuwa accredited hakumaanishi upo marekani na kwanini waanzishe chuo Nairobi kisha wawe accredited marekani?

What's the big deal? Hata kama ingekuwa Outer Mongolia, wewe shida yako nini? USIU-A ni Chuo Kikuu cha kweli na kina ultra-modern campus Nairobi. Elsie Kanza kasomea BSc USIU-A, ambayo it was good enough kumuwezesha kusomea Masters Strathclyde na Williams College. Sasa wewe tatizo lako nini?
 
Acheni ushabiki na hoja mbofumbofu jamani. Mbona hamuulizi Williams College ina hadhi gani mmeng'ngania USIU-A tu?

Kubobea kwenye taaluma ya uchumi siyo hoja vilevile: Larry Summers, mmoja wa Wataaluma wa juu kabisa Marekani wa mambo ya Uchumi, na Msomi wa kuotea mbali aliyewahi kuwa Mkuu wa Chuo cha Harvard mbona alijuzulu cheo cha Mshauri Mkuu wa Uchumi wa Obama mwaka jana? Hakuna la maana alilomsaidia Obama, na uchumi wa Marekani bado unadidimia kila kukicha.

Usilinganishe maji na bahari huyu dada ana BSc ya business Administration halafu ndio mshauri wa uchumi wa JK amesomea wapi uchumi, kapublish wape articles za uchumi, amefanya kazi wapi katika sekta ya uchumi?

Larry Summers CV yake inatisha degree ya kwanza ya economics amesoma MIT Massachusets Institute of Technology (MIT) which is regarded amongst top three universities in the world, degree ya pili PhD amesomea Harvard University economics, vile vile CV yake inaonyesha aliwahi kuwa Chief economists World Bank na kwengineo hao sasa ndio washauri na hii nafasi ni very technical maana rais anahitaji ushauri wa kitaalamu sio nafasi ya kisiasa.
 
What's the big deal? Hata kama ingekuwa Outer Mongolia, wewe shida yako nini? USIU-A ni Chuo Kikuu cha kweli na kina ultra-modern campus Nairobi. Elsie Kanza kasomea BSc USIU-A, ambayo it was good enough kumuwezesha kusomea Masters Strathclyde na Williams College. Sasa wewe tatizo lako nini?

Tatizo langu hafai kuwa mshauri wa uchumi wa rais kusoma Strathclyde Finance na another bogus college marekani hainisaidii kitu mie
 
Uwe unasoma vizuri kabla ya kujibu, siyo kufurahisha jukwaa tu, ok?

From a bogus college ok au hujasoma pale Western College kipo Almeda halafu ukifungua website yao unakutana na salamu hizi:-

The Western Association of Schools and Colleges (WASC), a 501(c)(3) organization, is recognized as one of six regional associations that accredit public and private schools, colleges, and universities in the United States.

The Western region covers institutions in California and Hawaii, the territories of Guam, American Samoa, Federated States of Micronesia, Republic of Palau, Commonwealth of the Northern Marianas Islands, the Pacific Basin, and East Asia, and areas of the Pacific and East Asia where American/International schools or colleges may apply to it for service.
The accrediting activities of WASC are conducted by the three Commissions, listed below. Each Commission works with a different segment of education.http://www.acswasc.org/
 
Usilinganishe maji na bahari huyu dada ana BSc ya business Administration halafu ndio mshauri wa uchumi wa JK amesomea wapi uchumi, kapublish wape articles za uchumi, amefanya kazi wapi katika sekta ya uchumi?

Larry Summers CV yake inatisha degree ya kwanza ya economics amesoma MIT Massachusets Institute of Technology (MIT) which is regarded amongst top three universities in the world, degree ya pili PhD amesomea Harvard University economics, vile vile CV yake inaonyesha aliwahi kuwa Chief economists World Bank na kwengineo hao sasa ndio washauri na hii nafasi ni very technical maana rais anahitaji ushauri wa kitaalamu sio nafasi ya kisiasa.

Pamoja na madigrii yake yote mbona Professor Larry Summers aliamua kuachia ngazi? Na uchumi wa Marekani leo upo wapi? Obviously wewe uko biased, ndiyo maana umeshindwa kusoma kuwa Ms. Kanza ana Masters ya Uchumi kutoka Williams College.
 
Back
Top Bottom