Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 7,670
- 13,150
No wonder uchumi wetu unalingana na wa Somalia oops sorry Kenya. Hawa wazungu wanajua kutudanganya kwa uchumi gani wa Tz. uliopo wakati nchi inakufa kabisa. Sasa ukitaka kujua nchi ina vilaza ndio hapa sasa. Wachumi wooooooooooote Tz. ni huyu tu? jamani. Kwa mtaji huu simpongezi yes i said simpongezi waache kutuzingua sisi.