Nataka kujua SIFA za watoto wote wa kiume na kike ambao mimba zao zinatungwa wakati wazazi wao wakiwa kwenye Fungate la NDOA yaani (HONEYMOON), nipo kwenye ka UTAFITI kidogo nadhani Machi 2012 nitaleta matokeo hapa bila kuchakachua kitu.
Nawasilisha.
Hiyo ni "title" yangu na hiyo ya miezi saba na tisa ni "title" nyingine na ni watu wawili tofauti acha tu niendelee na ka Utafiti kangu huo ni utafiti wa mambo ya kijamii tu.Nafikiri matokeo hayataweza kuelezea unachokitaka kwani honeymoon is just a holiday and has nothing to do with influencers of someone's ability and behaviour.
Wenzako waliwahi kuangalia tofauti kati ya watoto wanaozaliwa ndani ya miezi saba na tisa wakiwa watu wazima. Malezi ya mzazi mmoja na wote wawili. wale wanaolelewa na walezi. nje ya ndoa.
Nataka kujua SIFA za watoto wote wa kiume na kike ambao mimba zao zinatungwa wakati wazazi wao wakiwa kwenye Fungate la NDOA yaani (HONEYMOON), nipo kwenye ka UTAFITI kidogo nadhani Machi 2012 nitaleta matokeo hapa bila kuchakachua kitu.
Nawasilisha.
unapita wapi huko hamna njia mamdogo mwe!!!napita njia.
nashukuru kwa kuniongezea "methodology" mpya za kufanya hako kautafiti kangu kwa kuzingatia WAKATI wa siku, MWEZI, NDANI AU NJE ya nchi nitawaweka kulingana na makundi hayo pia.Hii kali....lakini mie nadhani tabia za watoto waliozaliwa kipindi hiki zitakuwa zatofautiana kwani honeymoon inaweza kuwa kuanzia jan-dec...mimba ikatungwa asubuhi,mchana,usiku au alfajiri...
Pia eneo ilipofanyikia honeymoon...inaweza kuwa nje ya nchi nk....