Honeymoon

Honeymoon

mwl

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
1,101
Reaction score
913
Jamaa yangu wa kipare alioa kwa ubakhili akaenda honeymoon peke yake.
 
Asante sana mkuu, nilikuwa na mawazo nikajikuta na cheka kama sina akili nzuri
 
Nasikia jamaa wa Kichaga kaweka pesa benki, kisha akamfata meneja na kumuomba kazi ya ulinzi, kuulizwa sababu, akajibu kuwa kafungua akauti, kwa hiyo anataka kulinda pesa yake.
 
Nasikia jamaa wa Kichaga kaweka pesa benki, kisha akamfata meneja na kumuomba kazi ya ulinzi, kuulizwa sababu, akajibu kuwa kafungua akauti, kwa hiyo anataka kulinda pesa yake.
teheteheteheeeeeeeee
 
Back
Top Bottom