honey and ghee exportation. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

honey and ghee exportation.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by akrb, Mar 17, 2012.

 1. a

  akrb Senior Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  habari zenu.mimi nataka kuuza asali na samli
  (ghee)nje ya nchi(kuexport),lakini sasa sina idea kabisa na
  vitu hivi kabisa.naomba ushauri wenu kuhusu
  market za nchi za nje za vitu hiv ambako panahitajika kwasana.na nitapata wapi
  asali na samli ya high quality amabayo inahitajika
  huko nje.na procedure za exportation.natanguliza shukurani.naomba ushauri wenu.
   
 2. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Tafuta soko kwanza ili ujue imported price yako.Then itakua easy for you to arrange some things.
   
 3. P

  PUNJE JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 334
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  ..Tafuta soko kwanza. soko sio bei tu! Kila soko lina mahitaji tofauti kuhusu; 1. Ubora wa bidha yako 2. Utaratibu wa kuipata na kuifungasha hadi kuwafikia. Hivyo, ukimpata mnunuzi atakupa masharti au mahitaji yanayolingana na kanuni na taratibu ambazo wengine huita viwango; kulingana na mahitaji hayo pamoja na gharama zako za uzalishaji au kuipata hapa ndio mtazungumza bei sasa. Angalizo: utapata shida sana ktk GHEE lakini.
   
 4. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu Una uelewa na mambo ya Internatinal Trade? Kuuza nje bidhaa hasahasa chakula si swala la kitoto mkuu ni kazi ngumu sana na yenye prcess ngumu sana,

  - Kwa nchi za ulaya na Marekani ndo balaa kabisa, na ukikuta mtu amepewa kibali cha kuingiza vyakula ulaya au marekani basi jua kapambana sana na si kupambana kwa rushwa,

  - Hizo biashara ni bora kwanza ukaanza na Domstick Mareket kwa sababu moja ya vigezo vya kupewa kibali ni je unauza wapi biadhaa zako? wakikuta ndo unaenda kuanzia kwao hawakupi hata siku moja.

  - Intrenatinal trade ni compicated sana na ningekushauri hizo asali uzia kwaza Tanzania ukisha pata uzoefu wa Soko la ndani ndo uanze kuatafuta kenya na Uganda then ndo uangalie Ulaya na marekani,

  - Na moja ya watu ku export bidhaa nje ni kwwamba soko la ndani limejaa so wana tafuta nje, saa je soko la ndani lisha jaa?
   
 5. DA HUSTLA

  DA HUSTLA JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 429
  Likes Received: 405
  Trophy Points: 80
  Mkuu umenifumbua macho sana mi mwenyewe nilikua nafikiria kuhusu hilo swala la kusafirisha vyakula nje ya nchi,umenifundisha kitu,nashukuru.
   
Loading...