asali na samli(ghee) kuuza nje. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

asali na samli(ghee) kuuza nje.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by akrb, Mar 14, 2012.

 1. a

  akrb Senior Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  habari zenu.mimi nataka kuuza asali na samli (ghee)nje ya nchi,lakini sasa sina idea kabisa na vitu hivi kabisa.naomba ushauri wenu kuhusu market nchi za nje za vitu havi.na nitapata wapi asali na samli ya high quality amabayo inahitajika huko nje.na procedure za exportation.natakuliza shukurani.
   
Loading...