Wakati wa Mwl. Nyerere alikuwa na Butiku kama katibu wa Rais (homeboy)
Alikuwa na General Msuguri kama (CDF)
Alikuwa na Warioba kama Attorney General (Homeboy)
Aliwahi kuwa na Joseph Nyerere RC mwanza (Homeboy)
Alikiwa na Bhoke Munanka waziri wa Usalama (homeboy)
Was it a coincidence?
Tuna Huseein Mwinyi Waziri wa Ulinzi kwa sasa. Amekuwa Naibu Waziri enzi za Mkapa na later akawa waziri kamili enzi za JK... kama sio family name ya Mzee Mwinyi, angefika hapo kwa ubavu wake?
JK aliingia na wanamtandao kuchukua a number of key post.
Sidhani kama JPM ni mkabila, but rather, mtu yeyote hata ungekuwa wewe, ni rahisi kufanya kazi na watu unaowaamini na wana utii, pasi chembe ya kukuzunguka ili kupiga deal.
Simwoni JPM mkabila, ila huenda kama binadamu anafanya kazi na watu anaowafahamu na hii iko duniani kote.
JFK alifanya kazi na mdogo wake Robert Kennedy kama AG.
Bush sr, baada ya kutoka madarakani, Bush Jr akaingia Whitehouse....
By the way, hao walioteuliwa ni Watanzania na wana sifa. Siamini kwenye nepotism, but rather the commander in chief is working with subordinate who are loyal to him to ensure his service to Tanzanians is realized.
Wakati tunajiuliza JPM, pia tuangalie CDM jinsi udugu na ushakaji na ukaskaz ulivyoshamiri kwenye fursa za ubunge, nafasi kwenye chama.... vip kama wangepewa nchi, wangeweza kweli ku-strike balance...kumbukeni wakati Kitilya akiwa Kamishna mkuu TRA namna ambavyo kabila lake kilijinafasi... what if mkoa hue ungetoa Prezdaa, najaribu kuwaza kama wangekuwa na uwiano kwenye kugawa keki ya taifa