Honest Discussion: Is there nepotism in the statehouse?

Rais Msukuma, makamu wa Rais- Zenji Waziri Mkuu- Lindi, Spika- Dodoma, makamu wake - Mbeya.

Njoo kwa mawaziri waandamizi, Msukuma nadhani ni Mpina na Kalemani tu ndani ya mawaziri waandamizi 20.

Manaiba waziri wapo kama 20 pia, wasukuma sijui kama wapo hata 2 tu.

Twende kwenye vyombo vya usalama,
TISS- Morogoro
JWTZ - Mwanza
Polisi- Mkurya
Uhamiaji- ?
Zimamoto- ?
Madawa ya kulevya - Mmasai

Hizo ndio nafasi kubwa za juu na naamini zinatoa picha ya mbali ya hakuna ukabila hapo vinginevyo labda tuseme Rais kwa kuwa ni Msukuma basi msukuma yoyote haruhusiwi kupata nafasi serikalini.
Mkuu unahangaika bure kujibu kabila linaloongea hivi kuwa Raisi mkabila Kila mtanzania analijua waliendesha sana ukabila Kila ofisi Kila mahali wakafika mahali wakaona ukabila sasa waufanye official wakaanzisha chama chao cha siasa ili washike nchi kabisa serikali yote iwe yao kabisa.!!!! Lakini mimi.nimeamini Mungu yupo na hutoa majibu hapa hapa duniani.Kilio cha waliobaguliwa nao Kimemfikia Mungu wa Mbinguni na majibu yanashuka kama mvua.Ushauri wa Bure wakimbilie kutubu na kumwomba Mungu awasamehe kwa uonezi waliowafanyia makabila mengine kwa miaka pengine Mungu atawasikia walau wakifa waende kwake hata kama hawatarudi nafasi na vyeo vizuri tena
 
Kwa Africa ya Mashariki hakuna nchi inayojitahidi kuepuka ukabila kama Tanzania. Nadhani ni kwa sababu ya misingi ya muasisi na wenzake. Wanaongea ukabila ni hisia tu kwa sababu hata takwimu hawana. Na hao ni baadhi tu ya wale wanaodhani wanafaa kumbe kwa vigezo vya wanaotafuta watu hawafai. Hata JK2 alikumbana na hisia hizo kwa kuambiwa anawapendelea waislamu wakati haikuwa kweli. Wanaosema viongozi was nchi wana ukabila hawajui walitendalo au hawana takwimu.
 
Kiuhalisia uteuzi unatakiwa ufuate kisomo, uwezo, uweledi, uzalendo na utazame nchi nzima na siyo sehemu moja ya nchi. sisi sote ni wamoja na Tanzania ni mama yetu sote.
 
Hata Wachagga na Wahaya wanaosemwa wana ukabila sio kweli. Wapo wengi kwenye mfumo kwa sababu ya kupata fursa za elimu wakati was ukoloni. Walipata na wakatumia sawasawa. Wengine walipata na kupotezea. Sidhani kama kuna mtu nchi anaweza kusema amewahi kukosa nafasi au huduma itolewayo na umma kwa sababu ya kabila lake au kwa sababu mhaya au mchagga ni kiongozi au mtoa huduma hapo mahali. Tukubali ukweli, hata JK1 alishalitolea ufafanuzi kwenye hotuba zake baada ya uhuru.
 
Wakati wa Mwl. Nyerere alikuwa na Butiku kama katibu wa Rais (homeboy)
Alikuwa na General Msuguri kama (CDF)
Alikuwa na Warioba kama Attorney General (Homeboy)
Aliwahi kuwa na Joseph Nyerere RC mwanza (Homeboy)
Alikiwa na Bhoke Munanka waziri wa Usalama (homeboy)
Was it a coincidence?

Tuna Huseein Mwinyi Waziri wa Ulinzi kwa sasa. Amekuwa Naibu Waziri enzi za Mkapa na later akawa waziri kamili enzi za JK... kama sio family name ya Mzee Mwinyi, angefika hapo kwa ubavu wake?

JK aliingia na wanamtandao kuchukua a number of key post.

Sidhani kama JPM ni mkabila, but rather, mtu yeyote hata ungekuwa wewe, ni rahisi kufanya kazi na watu unaowaamini na wana utii, pasi chembe ya kukuzunguka ili kupiga deal.
Simwoni JPM mkabila, ila huenda kama binadamu anafanya kazi na watu anaowafahamu na hii iko duniani kote.

JFK alifanya kazi na mdogo wake Robert Kennedy kama AG.
Bush sr, baada ya kutoka madarakani, Bush Jr akaingia Whitehouse....
By the way, hao walioteuliwa ni Watanzania na wana sifa. Siamini kwenye nepotism, but rather the commander in chief is working with subordinate who are loyal to him to ensure his service to Tanzanians is realized.

Wakati tunajiuliza JPM, pia tuangalie CDM jinsi udugu na ushakaji na ukaskaz ulivyoshamiri kwenye fursa za ubunge, nafasi kwenye chama.... vip kama wangepewa nchi, wangeweza kweli ku-strike balance...kumbukeni wakati Kitilya akiwa Kamishna mkuu TRA namna ambavyo kabila lake kilijinafasi... what if mkoa hue ungetoa Prezdaa, najaribu kuwaza kama wangekuwa na uwiano kwenye kugawa keki ya taifa

Jiwe ni mdini zaidi kuliko hata Ukabila
 
Rais Msukuma, makamu wa Rais- Zenji Waziri Mkuu- Lindi, Spika- Dodoma, makamu wake - Mbeya.

Njoo kwa mawaziri waandamizi, Msukuma nadhani ni Mpina na Kalemani tu ndani ya mawaziri waandamizi 20.

Manaiba waziri wapo kama 20 pia, wasukuma sijui kama wapo hata 2 tu.

Twende kwenye vyombo vya usalama,
TISS- Morogoro
JWTZ - Mwanza
Polisi- Mkurya
Uhamiaji- ?
Zimamoto- ?
Madawa ya kulevya - Mmasai

Hizo ndio nafasi kubwa za juu na naamini zinatoa picha ya mbali ya hakuna ukabila hapo vinginevyo labda tuseme Rais kwa kuwa ni Msukuma basi msukuma yoyote haruhusiwi kupata nafasi serikalini.
Halafu kuna kitu kingine cha kutilia maanani. Kanda ya Ziwa ni kubwa na population yake ni kubwa. Wasukuma ni kabila kubwa lenye watu wengi.
 
Mnatetea ujinga kwa hiyo nchi ikienda kwa mfumo huo kuna kuwa na tofauti gani monarchy au dictatatorship una uhakika gani kama hao wenye undugu au ukabila hakuna wanachokificha.Anyway hayo waachiwe wenyewe ndio maana mambo hayaendi
Mjinga ni wewe unayefikiri unaweza kufanyakazi kwenye nafasi nyeti na watu usiowajua. Nikuhakikishie tu, hakuna Rais asiyeweka watu anaofahamu katika nafasi nyeti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wanafanya kazi ya kujitolea tu, hawalipwi chochote cha mlipa kodi kutoka whitehouse ya Trump.

Siyo kama hapa KWETU Bichwa nafiki anateua kwa kusikilizia upepo,

Anateua MPWA DOTTO JAMES kuwa NAIBU KATIBU MKUU HAZINA, akiona watu wametulia wamejisahau AKAM-PROMOTE akawa KATIBU MKUU HAZINA, wanachota tu MAPENE.

Akamteua HOMEBOY aliyemwachia JIMBO MEDARD KALEMANI awe NAIBU NISHATI na MADINI, alivyoona watu wamejisahau wametulia KAMTUMBUA MUHONGO, KALEMANI na JIWE Wanagonga TEN PERCENT tu miradi mipya ya UMEME.

Hawana SHIDA, MSUKUMA CDF MABEYO anawapa AMANI.

#WanalongatuKIPUSHIkulu
Unauthibitisho kwamba hao wanafanya kazi ya kujitolea???? Waweza utoa humu au unaleta maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wa Mwl. Nyerere alikuwa na Butiku kama katibu wa Rais (homeboy)
Alikuwa na General Msuguri kama (CDF)
Alikuwa na Warioba kama Attorney General (Homeboy)
Aliwahi kuwa na Joseph Nyerere RC mwanza (Homeboy)
Alikiwa na Bhoke Munanka waziri wa Usalama (homeboy)
Was it a coincidence?

Tuna Huseein Mwinyi Waziri wa Ulinzi kwa sasa. Amekuwa Naibu Waziri enzi za Mkapa na later akawa waziri kamili enzi za JK... kama sio family name ya Mzee Mwinyi, angefika hapo kwa ubavu wake?

JK aliingia na wanamtandao kuchukua a number of key post.

Sidhani kama JPM ni mkabila, but rather, mtu yeyote hata ungekuwa wewe, ni rahisi kufanya kazi na watu unaowaamini na wana utii, pasi chembe ya kukuzunguka ili kupiga deal.
Simwoni JPM mkabila, ila huenda kama binadamu anafanya kazi na watu anaowafahamu na hii iko duniani kote.

JFK alifanya kazi na mdogo wake Robert Kennedy kama AG.
Bush sr, baada ya kutoka madarakani, Bush Jr akaingia Whitehouse....
By the way, hao walioteuliwa ni Watanzania na wana sifa. Siamini kwenye nepotism, but rather the commander in chief is working with subordinate who are loyal to him to ensure his service to Tanzanians is realized.

Wakati tunajiuliza JPM, pia tuangalie CDM jinsi udugu na ushakaji na ukaskaz ulivyoshamiri kwenye fursa za ubunge, nafasi kwenye chama.... vip kama wangepewa nchi, wangeweza kweli ku-strike balance...kumbukeni wakati Kitilya akiwa Kamishna mkuu TRA namna ambavyo kabila lake kilijinafasi... what if mkoa hue ungetoa Prezdaa, najaribu kuwaza kama wangekuwa na uwiano kwenye kugawa keki ya taifa
Ningekuwa ndo mwalimu nakusahihisha sipati picha mkuu comment yake kwenye kazi yako hii murua ingekuwaje!!!

But umeomgea ukwel na umetoa evidence ishi kabisa!!! Kongole mkuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais Msukuma, makamu wa Rais- Zenji Waziri Mkuu- Lindi, Spika- Dodoma, makamu wake - Mbeya.

Njoo kwa mawaziri waandamizi, Msukuma nadhani ni Mpina na Kalemani tu ndani ya mawaziri waandamizi 20.

Manaiba waziri wapo kama 20 pia, wasukuma sijui kama wapo hata 2 tu.

Twende kwenye vyombo vya usalama,
TISS- Morogoro
JWTZ - Mwanza
Polisi- Mkurya
Uhamiaji- ?
Zimamoto- ?
Madawa ya kulevya - Mmasai

Hizo ndio nafasi kubwa za juu na naamini zinatoa picha ya mbali ya hakuna ukabila hapo vinginevyo labda tuseme Rais kwa kuwa ni Msukuma basi msukuma yoyote haruhusiwi kupata nafasi serikalini.
Congrats!!! Umenikuna safi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wa Mwl. Nyerere alikuwa na Butiku kama katibu wa Rais (homeboy)
Alikuwa na General Msuguri kama (CDF)
Alikuwa na Warioba kama Attorney General (Homeboy)
Aliwahi kuwa na Joseph Nyerere RC mwanza (Homeboy)
Alikiwa na Bhoke Munanka waziri wa Usalama (homeboy)
Was it a coincidence?

Tuna Huseein Mwinyi Waziri wa Ulinzi kwa sasa. Amekuwa Naibu Waziri enzi za Mkapa na later akawa waziri kamili enzi za JK... kama sio family name ya Mzee Mwinyi, angefika hapo kwa ubavu wake?

JK aliingia na wanamtandao kuchukua a number of key post.

Sidhani kama JPM ni mkabila, but rather, mtu yeyote hata ungekuwa wewe, ni rahisi kufanya kazi na watu unaowaamini na wana utii, pasi chembe ya kukuzunguka ili kupiga deal.
Simwoni JPM mkabila, ila huenda kama binadamu anafanya kazi na watu anaowafahamu na hii iko duniani kote.

JFK alifanya kazi na mdogo wake Robert Kennedy kama AG.
Bush sr, baada ya kutoka madarakani, Bush Jr akaingia Whitehouse....
By the way, hao walioteuliwa ni Watanzania na wana sifa. Siamini kwenye nepotism, but rather the commander in chief is working with subordinate who are loyal to him to ensure his service to Tanzanians is realized.

Wakati tunajiuliza JPM, pia tuangalie CDM jinsi udugu na ushakaji na ukaskaz ulivyoshamiri kwenye fursa za ubunge, nafasi kwenye chama.... vip kama wangepewa nchi, wangeweza kweli ku-strike balance...kumbukeni wakati Kitilya akiwa Kamishna mkuu TRA namna ambavyo kabila lake kilijinafasi... what if mkoa hue ungetoa Prezdaa, najaribu kuwaza kama wangekuwa na uwiano kwenye kugawa keki ya taifa
Mkuu umeua, muanzisha thread anatamani kujinyonga, "thanks so much ".wataanza kuchukua tahadhali Kabla ya kuleta thread chonganishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyataki kwasababu huna nafasi kubwa, ukiipata utayataka. Ni nani asiyetaka kufanyakazi na mtu anayemfahamu? Siwezi nikafanyakazi na mtu ninayefikiri anaweza kunizunguka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli kabisa mkuu!!

Mie nashangaa yani unawezaje kuwasahau watu wako wa karibu?? mfano mie hapa niwe na kampuni kubwa au kiongozi mkubwa halafu niwasahau classmates wangu??? Nitakuwa naakilik kweli??

Tunatakiwa kufanya kazi na watu wa karibu wenye weledi na pia hao watu lazima uwe unawafahamu ili wasijekukugeuka!!
Huo ndio ukweli !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Wachagga na Wahaya wanaosemwa wana ukabila sio kweli. Wapo wengi kwenye mfumo kwa sababu ya kupata fursa za elimu wakati was ukoloni. Walipata na wakatumia sawasawa. Wengine walipata na kupotezea. Sidhani kama kuna mtu nchi anaweza kusema amewahi kukosa nafasi au huduma itolewayo na umma kwa sababu ya kabila lake au kwa sababu mhaya au mchagga ni kiongozi au mtoa huduma hapo mahali. Tukubali ukweli, hata JK1 alishalitolea ufafanuzi kwenye hotuba zake baada ya uhuru.
Mhaya naomba umtoe hajawahi anzisha chama cha siasa cha kikabila mwache.
 
Wakati wa Mwl. Nyerere alikuwa na Butiku kama katibu wa Rais (homeboy)
Alikuwa na General Msuguri kama (CDF)
Alikuwa na Warioba kama Attorney General (Homeboy)
Aliwahi kuwa na Joseph Nyerere RC mwanza (Homeboy)
Alikiwa na Bhoke Munanka waziri wa Usalama (homeboy)
Was it a coincidence?

Tuna Huseein Mwinyi Waziri wa Ulinzi kwa sasa. Amekuwa Naibu Waziri enzi za Mkapa na later akawa waziri kamili enzi za JK... kama sio family name ya Mzee Mwinyi, angefika hapo kwa ubavu wake?

JK aliingia na wanamtandao kuchukua a number of key post.

Sidhani kama JPM ni mkabila, but rather, mtu yeyote hata ungekuwa wewe, ni rahisi kufanya kazi na watu unaowaamini na wana utii, pasi chembe ya kukuzunguka ili kupiga deal.
Simwoni JPM mkabila, ila huenda kama binadamu anafanya kazi na watu anaowafahamu na hii iko duniani kote.

JFK alifanya kazi na mdogo wake Robert Kennedy kama AG.
Bush sr, baada ya kutoka madarakani, Bush Jr akaingia Whitehouse....
By the way, hao walioteuliwa ni Watanzania na wana sifa. Siamini kwenye nepotism, but rather the commander in chief is working with subordinate who are loyal to him to ensure his service to Tanzanians is realized.

Wakati tunajiuliza JPM, pia tuangalie CDM jinsi udugu na ushakaji na ukaskaz ulivyoshamiri kwenye fursa za ubunge, nafasi kwenye chama.... vip kama wangepewa nchi, wangeweza kweli ku-strike balance...kumbukeni wakati Kitilya akiwa Kamishna mkuu TRA namna ambavyo kabila lake kilijinafasi... what if mkoa hue ungetoa Prezdaa, najaribu kuwaza kama wangekuwa na uwiano kwenye kugawa keki ya taifa
.kabla ya kitilya TRA alikuwepo nani?
Maana wengi wa mameneja na staff wengineo wameanza kazi toka Enzi za long room nk, enzi hizo kitilya hakuwepo hivyo hakuhusika kuajiri wachaga maana wamekuwepo wengi na amewakuta.
 
Is there Nepotism in the statehouse or is JPM still struggling to find loyalist in the ruling party?

What if JPM is favouring his relatives can that signal tribalism and the change of the rules?

Discuss with examples of appointments of cadres from his tribe or specific regions.Concrete examples Please
No, its just patriotism.
He is just a patriotic
 
Hakuna ukabila Tanzania,Awamu ya kwanza=Zanaki,ya pili= Zanzibar,ya Tatu=Machinga, ya nne=Sijui mzaramo yule,ya tano=msukuma kabila ambalo ni kubwa kuliko yote Tanzania japokuwa huitwa washamba.Sasa mpende msipende mtacheza ngoma za kisukuma.
 
Back
Top Bottom