Mimi nashauri kama wanataka kuwasaidia wasukuma wa vijijini na kanda ya ziwa na taifa in general, basi wajenge barabara ya kiwango cha lami itakayo unganisha Karatu na Mwadui moja kwa moja (kupitia kaskazini mwa ziwa Eyasi).
Barabara hii inatoka mji wa Ngorongoro inapitia Kakesio then Banyu (in Maswa Game Reserve) then Banyu tena (after Maswa Game reserve) then Lalago (karibia na Mwadui; kwenye main road ya Mwanza na Musoma).
This road is approximately 180 kms.
Ni vizuri Hazina iiweke barabara hii kwenye bajeti ya mwaka huu wa 2019/2020.