Honest Discussion: Is there nepotism in the statehouse?

Kwani Rais ndio anateua Spika na naibu spika?Sioni mantiki yako kuwataja!
Rais ana influence ya nani achaguliwe kuwa Spika na Naibu Spika, rejea jinsi walivyomtosa Sitta na kumuweka Makinda na pia Naibu Spika wa sasa ni alipewa ubunge na Rais kwa dhumuni la maksudi la kuja kuwa Naibu Spika 2015 - 2020.
 
Wakati wa Mwl. Nyerere alikuwa na Butiku kama katibu wa Rais (homeboy)
Alikuwa na General Msuguri kama (CDF)
Alikuwa na Warioba kama Attorney General (Homeboy)
Aliwahi kuwa na Joseph Nyerere RC mwanza (Homeboy)
Alikiwa na Bhoke Munanka waziri wa Usalama (homeboy)
Was it a coincidence?

Tuna Huseein Mwinyi Waziri wa Ulinzi kwa sasa. Amekuwa Naibu Waziri enzi za Mkapa na later akawa waziri kamili enzi za JK... kama sio family name ya Mzee Mwinyi, angefika hapo kwa ubavu wake?

JK aliingia na wanamtandao kuchukua a number of key post.

Sidhani kama JPM ni mkabila, but rather, mtu yeyote hata ungekuwa wewe, ni rahisi kufanya kazi na watu unaowaamini na wana utii, pasi chembe ya kukuzunguka ili kupiga deal.
Simwoni JPM mkabila, ila huenda kama binadamu anafanya kazi na watu anaowafahamu na hii iko duniani kote.

JFK alifanya kazi na mdogo wake Robert Kennedy kama AG.
Bush sr, baada ya kutoka madarakani, Bush Jr akaingia Whitehouse....
By the way, hao walioteuliwa ni Watanzania na wana sifa. Siamini kwenye nepotism, but rather the commander in chief is working with subordinate who are loyal to him to ensure his service to Tanzanians is realized.

Wakati tunajiuliza JPM, pia tuangalie CDM jinsi udugu na ushakaji na ukaskaz ulivyoshamiri kwenye fursa za ubunge, nafasi kwenye chama.... vip kama wangepewa nchi, wangeweza kweli ku-strike balance...kumbukeni wakati Kitilya akiwa Kamishna mkuu TRA namna ambavyo kabila lake kilijinafasi... what if mkoa hue ungetoa Prezdaa, najaribu kuwaza kama wangekuwa na uwiano kwenye kugawa keki ya taifa
Fala wewe
 
Hoja hii haina mashiko kwasababu haina ushahidi,japo kwa macho ya kawaida inaonekana hivyo!
 
RC ndikilo alitruliwa kuwa mkuu wa mkoa wakati wa serikali ya awamu ya NNE. JPM kamkuta Ndikilo akiwa mkuu wa mkoa wa Pwani. Aliyemuibua Makonda ni JK, JPM kamkuta Makonda akiwa DC. Huyo Hosea, JPM kamkuta NSSF akiwa Chief Auditor , kwa huo uzoefu kakabidhiwa rungu. Hugo DR. Ng'umbi aliyepewa Taasisi ya Elimu ya watu wazima, JPM kamkuta ni Dean Faculty of Education hapo OUT. Hivyo hao wasukuma, JPM hajawaibua toka mtaani, kawakuta kwenye nafasi nyeti
Nssf hosea,rc makonda,rc ndikilo rc tanga dc gondwe,nk
 
Wakati wa Mwl. Nyerere alikuwa na Butiku kama katibu wa Rais (homeboy)
Alikuwa na General Msuguri kama (CDF)
Alikuwa na Warioba kama Attorney General (Homeboy)
Aliwahi kuwa na Joseph Nyerere RC mwanza (Homeboy)
Alikiwa na Bhoke Munanka waziri wa Usalama (homeboy)
Was it a coincidence?

Tuna Huseein Mwinyi Waziri wa Ulinzi kwa sasa. Amekuwa Naibu Waziri enzi za Mkapa na later akawa waziri kamili enzi za JK... kama sio family name ya Mzee Mwinyi, angefika hapo kwa ubavu wake?

JK aliingia na wanamtandao kuchukua a number of key post.

Sidhani kama JPM ni mkabila, but rather, mtu yeyote hata ungekuwa wewe, ni rahisi kufanya kazi na watu unaowaamini na wana utii, pasi chembe ya kukuzunguka ili kupiga deal.
Simwoni JPM mkabila, ila huenda kama binadamu anafanya kazi na watu anaowafahamu na hii iko duniani kote.

JFK alifanya kazi na mdogo wake Robert Kennedy kama AG.
Bush sr, baada ya kutoka madarakani, Bush Jr akaingia Whitehouse....
By the way, hao walioteuliwa ni Watanzania na wana sifa. Siamini kwenye nepotism, but rather the commander in chief is working with subordinate who are loyal to him to ensure his service to Tanzanians is realized.

Wakati tunajiuliza JPM, pia tuangalie CDM jinsi udugu na ushakaji na ukaskaz ulivyoshamiri kwenye fursa za ubunge, nafasi kwenye chama.... vip kama wangepewa nchi, wangeweza kweli ku-strike balance...kumbukeni wakati Kitilya akiwa Kamishna mkuu TRA namna ambavyo kabila lake kilijinafasi... what if mkoa hue ungetoa Prezdaa, najaribu kuwaza kama wangekuwa na uwiano kwenye kugawa keki ya taifa
Anzia kwenye chama chetu Baba Muasisi, Mkwe Mwenyekiti Taifa, Mtoto wa Muasisi wa Chama ni mbunge viti maalumu, michepuko ya Mwenyekiti Taifa ni wabunge viti maalumu n.k. Hapa bado hawajapewa nchi ila wamepewa ruzuku
 
Hao wanafanya kazi ya kujitolea tu, hawalipwi chochote cha mlipa kodi kutoka whitehouse ya Trump.

Siyo kama hapa KWETU Bichwa nafiki anateua kwa kusikilizia upepo,
Hivi unaijua Marekani wewe au unajiongelea tuu, eti wanajitolea...unajua faida ya ushawishi unaopatikana kwa kuwa hapo mjengoni?
 
Hivi hao wasukuma ni asilimia ngapi nchi hii? Nasikia ni 33% ya watanzania wote. Kama ni kweli naona hata idadi yao katika teuzi za viongozi bdo iko chini sana.

Wanaolalamika hawajitambui na hawana tofauti na Tundu Lissu.
Asilimia kubwa ni mijinga haijasoma ni mikulima tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa tunaongelea pesa ya walipa kodi na siyo hizo faida nyingine.
Umesema kuwa wao wanajitolea, yaani wanafanya kazi kwa hisani na mimi nimekuonesha kuwa siyo unavyofikiri, wao wapo pale kwa maslahi binasfi.

kwa kutumia ushawishi wao wameweka sheria ili wakwepe kodi ikiwa ni sawa sawa na kuwaibia pesa wananchi wa kati na masikini. Hivi unaelewa kuwa tax return kwa mwaka huu imekuwa ndogo sana kwa wananchi wa kawaida ikiwa ni kutokana na sheria ya tax cut iliyowekwa na utawala huu?
 
Is there Nepotism in the statehouse or is JPM still struggling to find loyalist in the ruling party?

What if JPM is favouring his relatives can that signal tribalism and the change of the rules?

Discuss with examples of appointments of cadres from his tribe or specific regions.Concrete examples Please
Mtoa hoja, mchango utakaoupata hapa utasaidiaje kuboresha mfumo wa utawala Na maisha ya Watanzania kwa ujumla? Una mamlaka Na ujasiri wa kukosoa au kushauri? Umetumwa Na nani kukusanya maoni? Kama una majibu chanya kwa maswali hayo wajulishe wadau ili wachangie. Lakini ikiwa unataka kutoa uchovu uliokujaa kichwani ni kuacha porojo na kuponza wenzio ili wewe uinuliwe
 
Hivi nani sio ndugu kwa Tanzania hoja yangu ni je hao wateule wana uwezo na nafasi walizopewa
 
Umesema kuwa wao wanajitolea, yaani wanafanya kazi kwa hisani na mimi nimekuonesha kuwa siyo unavyofikiri, wao wapo pale kwa maslahi binasfi.

kwa kutumia ushawishi wao wameweka sheria ili wakwepe kodi ikiwa ni sawa sawa na kuwaibia pesa wananchi wa kati na masikini. Hivi unaelewa kuwa tax return kwa mwaka huu imekuwa ndogo sana kwa wananchi wa kawaida ikiwa ni kutokana na sheria ya tax cut iliyowekwa na utawala huu?
Hivi unaelewa kweli ?

Statehouse ya Trump ndio wanatunga sheria ?
 
Ndiyo wanaweza, kwa kutumia executive order.

Exercutive Order hiyo ndiyo iliyotumika kuweka sheria ya tax cut.
Kwahiyo wameshajitungia sheria kupitia Executive Order na hivyo wanaitumia kukwepa kodi ?
 
Kwahiyo wameshajitungia sheria kupitia Executive Order na hivyo wanaitumia kukwepa kodi ?
Ndiyo.
Matajiri wamepata msamaha wa kodi na hizo gharama zinakwenda kwa watu wa kati na chini.

Pesa ambazo (watu wa chini na wakati) walikuwa warudishiwe (tax return) zinakatwa au kuto rudishiwa kabisa au kuambiwa walipe kodi zaidi.
 
Wakati TRA inaanzishwa enzi zile za Sanare, PricewaterhouseCoopers ndio walikuwa wanafanya recruiting na interviews za kuwapata hao top TRA officials kama wakina Lauwo.
 
Watanzania wengi hawa mind wasukuma kuwa ikulu. Kwa sababu wanajua umuhimu wa kiongozi kuweka watu wa karibu kwenye sehemu nyeti. Kinacho matter ni waperform vizuri, na kwa utu na upendo.
 
Back
Top Bottom