Honest Discussion: Is there nepotism in the statehouse?

Tuuseme tu ukweli kuna kabila Tz chini ya Mlima wetu mrefu kabisa Tz ambalo linaamini wao ndio wana haki ya kushika vyeo kwenye mashirika yote mazuri mazuri serikalini, kuteuliwa watu wengine kwao ni ukabila ila wakati wapo wao haukuwa ukabila. Hii dhana ya ukabila inashangiliwa na wao tu huwezi kukuta mtu wa mikoa mingine ana fikra hizi kali za ukabila
Kero kubwa zaidi ni ukweli kwamba mpaka kwenye kamati za ujenzi za makanisa ya madhehebu mbalimbali wanapeana tenda kiukabila. Wanao ule ujinga wa kumzunguka mtu kwa maana ya fitina ili wamchafue na aonekane ameshindwa kazi.

Mamlaka mbalimbali za kiserikali zilikuwa chini ya ushawishi wao, kaingia Ngosha pale Magogoni na hizo fitina zao zimegonga ukuta, hawaamini kuona kinachoendelea.
 
Kuna kabila moja kanda ya kati, jamaa akiwa kwenye nafasi akutane na jina la kwao/poti yaani hiyo ni number one disqualification! [emoji1]
 
Wakati wa Mwl. Nyerere alikuwa na Butiku kama katibu wa Rais (homeboy)
Alikuwa na General Msuguri kama (CDF)
Alikuwa na Warioba kama Attorney General (Homeboy)
Aliwahi kuwa na Joseph Nyerere RC mwanza (Homeboy)
Alikiwa na Bhoke Munanka waziri wa Usalama (homeboy)
Was it a coincidence?

Tuna Huseein Mwinyi Waziri wa Ulinzi kwa sasa. Amekuwa Naibu Waziri enzi za Mkapa na later akawa waziri kamili enzi za JK... kama sio family name ya Mzee Mwinyi, angefika hapo kwa ubavu wake?

JK aliingia na wanamtandao kuchukua a number of key post.

Sidhani kama JPM ni mkabila, but rather, mtu yeyote hata ungekuwa wewe, ni rahisi kufanya kazi na watu unaowaamini na wana utii, pasi chembe ya kukuzunguka ili kupiga deal.
Simwoni JPM mkabila, ila huenda kama binadamu anafanya kazi na watu anaowafahamu na hii iko duniani kote.

JFK alifanya kazi na mdogo wake Robert Kennedy kama AG.
Bush sr, baada ya kutoka madarakani, Bush Jr akaingia Whitehouse....
By the way, hao walioteuliwa ni Watanzania na wana sifa. Siamini kwenye nepotism, but rather the commander in chief is working with subordinate who are loyal to him to ensure his service to Tanzanians is realized.

Wakati tunajiuliza JPM, pia tuangalie CDM jinsi udugu na ushakaji na ukaskaz ulivyoshamiri kwenye fursa za ubunge, nafasi kwenye chama.... vip kama wangepewa nchi, wangeweza kweli ku-strike balance...kumbukeni wakati Kitilya akiwa Kamishna mkuu TRA namna ambavyo kabila lake kilijinafasi... what if mkoa hue ungetoa Prezdaa, najaribu kuwaza kama wangekuwa na uwiano kwenye kugawa keki ya taifa
Unafikili watajiuliza yote haya? Huwa watu wanajiuliza wakiwa nje ya ulingo, ila nguvu ya hawa jamaa niliiona kipindi cha JK kuna taasisi moja ya serikali nilifanya interview, nikabaki nao 2 Kwenye last round, nilipoingia kwenye ile panel nikajua tu hapa sitoboi walipoanza kujutambulisha majina nikajua sina changu, hamna watu wabaguzi kama wao, tena hawajali kabisa wakati wao wanakula, nakumbuka huko nyuma watu wakipiga kelele wanadai wao wamesoma wengine hawakusoma so wasilaumiwe, hawa JPM wanaoteuliwa wanatoka wapi? mi nakuelewa sana. Wangekuwa wao jumba jeupe nafikili unajua sahivi ingekuwaje kwenye taasisi za umma. Shida wakiwa wao hawana huruma kabisa hata mfagiaji watataka awe wa kwao utasikia wanasema wakwao ndio anajua kufagia
 
Mlima mrefu Tz na Africa, hao ndio wanaongelea mambo ya ukabila sana kwa sababu wao wanafikiria ukabila, hawataki kiyasaka apate cheo chochote, wanaamini wao tu ndio wanatakiwa kuongoza isipokuwa wao ni ubaguzi.
Na ndiyo wanahangaika sana na haya mambo sasa! Unafahamu ukiwa unakojoa kitandani basi unadhani na wengine wanakojoa kitandani kumbe ni wewe tu. Hawa jamaa ni wabaguzi wa hali ya juu ukiacha kabila la wahindi hawa ni wa pili. Kama si mtu wao yaani hupati msaada kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wa Mwl. Nyerere alikuwa na Butiku kama katibu wa Rais (homeboy)
Alikuwa na General Msuguri kama (CDF)
Alikuwa na Warioba kama Attorney General (Homeboy)
Aliwahi kuwa na Joseph Nyerere RC mwanza (Homeboy)
Alikiwa na Bhoke Munanka waziri wa Usalama (homeboy)
Was it a coincidence?

Tuna Huseein Mwinyi Waziri wa Ulinzi kwa sasa. Amekuwa Naibu Waziri enzi za Mkapa na later akawa waziri kamili enzi za JK... kama sio family name ya Mzee Mwinyi, angefika hapo kwa ubavu wake?

JK aliingia na wanamtandao kuchukua a number of key post.

Sidhani kama JPM ni mkabila, but rather, mtu yeyote hata ungekuwa wewe, ni rahisi kufanya kazi na watu unaowaamini na wana utii, pasi chembe ya kukuzunguka ili kupiga deal.
Simwoni JPM mkabila, ila huenda kama binadamu anafanya kazi na watu anaowafahamu na hii iko duniani kote.

JFK alifanya kazi na mdogo wake Robert Kennedy kama AG.
Bush sr, baada ya kutoka madarakani, Bush Jr akaingia Whitehouse....
By the way, hao walioteuliwa ni Watanzania na wana sifa. Siamini kwenye nepotism, but rather the commander in chief is working with subordinate who are loyal to him to ensure his service to Tanzanians is realized.

Wakati tunajiuliza JPM, pia tuangalie CDM jinsi udugu na ushakaji na ukaskaz ulivyoshamiri kwenye fursa za ubunge, nafasi kwenye chama.... vip kama wangepewa nchi, wangeweza kweli ku-strike balance...kumbukeni wakati Kitilya akiwa Kamishna mkuu TRA namna ambavyo kabila lake kilijinafasi... what if mkoa hue ungetoa Prezdaa, najaribu kuwaza kama wangekuwa na uwiano kwenye kugawa keki ya taifa
Bush SR ali serve for one term then akawa succeeded na Bill Clinton baada ya Hapo Clinton akasave term zote mbili ndio Bush JR akarudi tena, Hawakupokezana Vijiti...Bush SR Rais wa 41, Bill clinton wa 42 na Bush JR akaja awamu ya 43.
 
Is there Nepotism in the statehouse or is JPM still struggling to find loyalist in the ruling party?

What if JPM is favouring his relatives can that signal tribalism and the change of the rules?

Discuss with examples of appointments of cadres from his tribe or specific regions.Concrete examples Please
That's unquestionable anymore!
Wasukuma on every corner of the statehouse
 
Wakati wa Mwl. Nyerere alikuwa na Butiku kama katibu wa Rais (homeboy)
Alikuwa na General Msuguri kama (CDF)
Alikuwa na Warioba kama Attorney General (Homeboy)
Aliwahi kuwa na Joseph Nyerere RC mwanza (Homeboy)
Alikiwa na Bhoke Munanka waziri wa Usalama (homeboy)
Was it a coincidence?

Tuna Huseein Mwinyi Waziri wa Ulinzi kwa sasa. Amekuwa Naibu Waziri enzi za Mkapa na later akawa waziri kamili enzi za JK... kama sio family name ya Mzee Mwinyi, angefika hapo kwa ubavu wake?

JK aliingia na wanamtandao kuchukua a number of key post.

Sidhani kama JPM ni mkabila, but rather, mtu yeyote hata ungekuwa wewe, ni rahisi kufanya kazi na watu unaowaamini na wana utii, pasi chembe ya kukuzunguka ili kupiga deal.
Simwoni JPM mkabila, ila huenda kama binadamu anafanya kazi na watu anaowafahamu na hii iko duniani kote.

JFK alifanya kazi na mdogo wake Robert Kennedy kama AG.
Bush sr, baada ya kutoka madarakani, Bush Jr akaingia Whitehouse....
By the way, hao walioteuliwa ni Watanzania na wana sifa. Siamini kwenye nepotism, but rather the commander in chief is working with subordinate who are loyal to him to ensure his service to Tanzanians is realized.

Wakati tunajiuliza JPM, pia tuangalie CDM jinsi udugu na ushakaji na ukaskaz ulivyoshamiri kwenye fursa za ubunge, nafasi kwenye chama.... vip kama wangepewa nchi, wangeweza kweli ku-strike balance...kumbukeni wakati Kitilya akiwa Kamishna mkuu TRA namna ambavyo kabila lake kilijinafasi... what if mkoa hue ungetoa Prezdaa, najaribu kuwaza kama wangekuwa na uwiano kwenye kugawa keki ya taifa
Mkuu hakuna kabila lenye ukabila kama wachaga dhambi hiyo wanayo toka enzi za mababu zetu. Kuzihirisha hilo hata kwao pia wanabaguana kwa umachame, ukibosho, umarangu, urombo n.k. Na Mungu akawapiga kwenye ndimi zao hawasikikizani kila mtu na lugha yake! Acha Mungu aitwe Mungu!! Wangekuwa wanaongea lugha moja twafaa MURA!!
 
Mkuu Sijui kuhusu ukabila wa wachaga ila swali langu ni kuhusu kinachoendelea Magogoni.Una elewa hilo?
 
Rais Msukuma, makamu wa Rais- Zenji Waziri Mkuu- Lindi, Spika- Dodoma, makamu wake - Mbeya.

Njoo kwa mawaziri waandamizi, Msukuma nadhani ni Mpina na Kalemani tu ndani ya mawaziri waandamizi 20.

Manaiba waziri wapo kama 20 pia, wasukuma sijui kama wapo hata 2 tu.

Twende kwenye vyombo vya usalama,
TISS- Morogoro
JWTZ - Mwanza
Polisi- Mkurya
Uhamiaji- ?
Zimamoto- ?
Madawa ya kulevya - Mmasai

Hizo ndio nafasi kubwa za juu na naamini zinatoa picha ya mbali ya hakuna ukabila hapo vinginevyo labda tuseme Rais kwa kuwa ni Msukuma basi msukuma yoyote haruhusiwi kupata nafasi serikalini.
Kalemani si msukuma nafikiri ni mjita au msubi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kero kubwa zaidi ni ukweli kwamba mpaka kwenye kamati za ujenzi za makanisa ya madhehebu mbalimbali wanapeana tenda kiukabila. Wanao ule ujinga wa kumzunguka mtu kwa maana ya fitina ili wamchafue na aonekane ameshindwa kazi.

Mamlaka mbalimbali za kiserikali zilikuwa chini ya ushawishi wao, kaingia Ngosha pale Magogoni na hizo fitina zao zimegonga ukuta, hawaamini kuona kinachoendelea.
Siyo huko tu kila sehemu walipo wako hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale White House Jared Kushner ni mume Wa Toto ya mfalme Trump. Ndiye mshauri Mkuu Wa Mfalme Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko hawaulizi akina Lisu utakuta wanaimba tu ooh tuiige Marekani wakati mume wa mwanae wa kike wa Donald Trump ndiye kateuliea na Raisi trump kuwa ndie mshauri Mkuu wa Raisi wa Marekani ambaye ndie mkwewe.Na Wamarekani wameufyata hakuna wa kusema fyoko na chadema wameufyata!!!!! Tundu Lisu alikuwa mbunge na dada yake akampa ubunge viti Maalunu hapo kimya sio nepotism.Mbowe mbunge kampa mzazi mwenzie Joyce Mukya ubunge viti Maalunu kimya!!! Chadema huko ni balaa kuangalia idadi ya wabunge hasa viti Maalumu ni Kilimanjaro
 
Rais Msukuma, makamu wa Rais- Zenji Waziri Mkuu- Lindi, Spika- Dodoma, makamu wake - Mbeya.

Njoo kwa mawaziri waandamizi, Msukuma nadhani ni Mpina na Kalemani tu ndani ya mawaziri waandamizi 20.

Manaiba waziri wapo kama 20 pia, wasukuma sijui kama wapo hata 2 tu.

Twende kwenye vyombo vya usalama,
TISS- Morogoro
JWTZ - Mwanza
Polisi- Mkurya
Uhamiaji- ?
Zimamoto- ?
Madawa ya kulevya - Mmasai

Hizo ndio nafasi kubwa za juu na naamini zinatoa picha ya mbali ya hakuna ukabila hapo vinginevyo labda tuseme Rais kwa kuwa ni Msukuma basi msukuma yoyote haruhusiwi kupata nafasi serikalini.
Tatizo lao kubwa watu wa (Ukanda flani) siku hizi hata kuutaja humu unapewa Ban wamejawa na UKABILA, UBINAFSI, Uzandiki na Madeko.
Enzi zao walipokuwa wamejazana TRA, CRDB, TPA n.k hakuna aliyepiga kelele kuhusu wao kuwa wakabila. Walikwapua sana Mali za Umma. Rais wa Awamu ya tano ni mtu ambaye anachukia sana MAJIZI na wapiga Dili.
Katika sakata la vyeti feki hiyo Kanda ndio imeongoza kwa wahanga wa vyeti feki. Ndio maana SUMU YA CHUKI tunayoshuhudia sasa ni ya kiwango cha SGR.
 
Huyataki kwasababu huna nafasi kubwa, ukiipata utayataka. Ni nani asiyetaka kufanyakazi na mtu anayemfahamu? Siwezi nikafanyakazi na mtu ninayefikiri anaweza kunizunguka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnatetea ujinga kwa hiyo nchi ikienda kwa mfumo huo kuna kuwa na tofauti gani monarchy au dictatatorship una uhakika gani kama hao wenye undugu au ukabila hakuna wanachokificha.Anyway hayo waachiwe wenyewe ndio maana mambo hayaendi
 
Huyataki kwasababu huna nafasi kubwa, ukiipata utayataka. Ni nani asiyetaka kufanyakazi na mtu anayemfahamu? Siwezi nikafanyakazi na mtu ninayefikiri anaweza kunizunguka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Sumu ya Chuki wanayoonyesha dhahiri kwa mkuu wa Nchi wanategemea "Kuteuliwa" kufanya nae kazi!?
Ni nani anaweza kufanya kazi na mtu anayemtukana na kumdhihaki kutwa kucha!?
 
Back
Top Bottom