Honest Discussion: Is there nepotism in the statehouse?

Rais Msukuma, makamu wa Rais- Zenji Waziri Mkuu- Lindi, Spika- Dodoma, makamu wake - Mbeya.

Njoo kwa mawaziri waandamizi, Msukuma nadhani ni Mpina na Kalemani tu ndani ya mawaziri waandamizi 20.

Manaiba waziri wapo kama 20 pia, wasukuma sijui kama wapo hata 2 tu.

Twende kwenye vyombo vya usalama,
TISS- Morogoro
JWTZ - Mwanza
Polisi- Mkurya
Uhamiaji- ?
Zimamoto- ?
Madawa ya kulevya - ?

Hizo ndio nafasi kubwa za juu na naamini zinatoa picha ya mbali ya hakuna ukabila hapo vinginevyo labda tuseme Rais kwa kuwa ni Msukuma basi msukuma yoyote haruhusiwi kupata nafasi serikalini.
Madawa ya kulevya - Maasai
 
Wakati wa Mwl. Nyerere alikuwa na Butiku kama katibu wa Rais (homeboy)
Alikuwa na General Msuguri kama (CDF)
Alikuwa na Warioba kama Attorney General (Homeboy)
Aliwahi kuwa na Joseph Nyerere RC mwanza (Homeboy)
Alikiwa na Bhoke Munanka waziri wa Usalama (homeboy)
Was it a coincidence?

Tuna Huseein Mwinyi Waziri wa Ulinzi kwa sasa. Amekuwa Naibu Waziri enzi za Mkapa na later akawa waziri kamili enzi za JK... kama sio family name ya Mzee Mwinyi, angefika hapo kwa ubavu wake?

JK aliingia na wanamtandao kuchukua a number of key post.

Sidhani kama JPM ni mkabila, but rather, mtu yeyote hata ungekuwa wewe, ni rahisi kufanya kazi na watu unaowaamini na wana utii, pasi chembe ya kukuzunguka ili kupiga deal.
Simwoni JPM mkabila, ila huenda kama binadamu anafanya kazi na watu anaowafahamu na hii iko duniani kote.

JFK alifanya kazi na mdogo wake Robert Kennedy kama AG.
Bush sr, baada ya kutoka madarakani, Bush Jr akaingia Whitehouse....
By the way, hao walioteuliwa ni Watanzania na wana sifa. Siamini kwenye nepotism, but rather the commander in chief is working with subordinate who are loyal to him to ensure his service to Tanzanians is realized.

Wakati tunajiuliza JPM, pia tuangalie CDM jinsi udugu na ushakaji na ukaskaz ulivyoshamiri kwenye fursa za ubunge, nafasi kwenye chama.... vip kama wangepewa nchi, wangeweza kweli ku-strike balance...kumbukeni wakati Kitilya akiwa Kamishna mkuu TRA namna ambavyo kabila lake kilijinafasi... what if mkoa hue ungetoa Prezdaa, najaribu kuwaza kama wangekuwa na uwiano kwenye kugawa keki ya taifa
Unatetea ujinga tu,,
 
Tuuseme tu ukweli kuna kabila Tz chini ya Mlima wetu mrefu kabisa Tz ambalo linaamini wao ndio wana haki ya kushika vyeo kwenye mashirika yote mazuri mazuri serikalini, kuteuliwa watu wengine kwao ni ukabila ila wakati wapo wao haukuwa ukabila. Hii dhana ya ukabila inashangiliwa na wao tu huwezi kukuta mtu wa mikoa mingine ana fikra hizi kali za ukabila
 
Ni Rais gani mchaga aliyewahi kutawala Tanzania kiasi cha kuteuwa watu wa kabila lake kwenye kila idara ?
 
Uko zaidi ya sahihi mkui. Nenda CRDB kaangalie. Haitofautiani na TRA. CRDB ni Kimei na TRA Kitilya na Lauwo. Watu watatu wamehakikisha 80% ya wafanyikazi wa sehemu hizo ni kabila lao. Magufuli anatafuta watu waaminifu kwake ili wasimzunguke wakapiga ila jamaa zetu wanapeana uchumi ili wapige. Na hao hao ndiyo wanaandika haya mathread sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuuseme tu ukweli kuna kabila Tz chini ya Mlima wetu mrefu kabisa Tz ambalo linaamini wao ndio wana haki ya kushika vyeo kwenye mashirika yote mazuri mazuri serikalini, kuteuliwa watu wengine kwao ni ukabila ila wakati wapo wao haukuwa ukabila. Hii dhana ya ukabila inashangiliwa na wao tu huwezi kukuta mtu wa mikoa mingine ana fikra hizi kali za ukabila
Mkuu chini ya mlima upi, Kitonga?
 
Uko zaidi ya sahihi mkui. Nenda CRDB kaangalie. Haitofautiani na TRA. CRDB ni Kimei na TRA Kitilya na Lauwo. Watu watatu wamehakikisha 80% ya wafanyikazi wa sehemu hizo ni kabila lao. Magufuli anatafuta watu waaminifu kwake ili wasimzunguke wakapiga ila jamaa zetu wanapeana uchumi ili wapige. Na hao hao ndiyo wanaandika haya mathread sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Nyangomboli naona kuna ukweli wa asilimia 110
 
Hivi hao wasukuma ni asilimia ngapi nchi hii? Nasikia ni 33% ya watanzania wote. Kama ni kweli naona hata idadi yao katika teuzi za viongozi bdo iko chini sana.

Wanaolalamika hawajitambui na hawana tofauti na Tundu Lissu.
 
Ningumu kufanya kazi na mtu usiyemwamini,acha amalize namm zamu yangu ikija lazima niingie na watu tunaoshare interest
 
Is there Nepotism in the statehouse or is JPM still struggling to find loyalist in the ruling party?

What if JPM is favouring his relatives can that signal tribalism and the change of the rules?

Discuss with examples of appointments of cadres from his tribe or specific regions.Concrete examples Please
I really do not concur with your notion and narrative alluding that JPM's appointments are based on NEPOTISM.

It is therefore not true at all, but mere perception which borders on ethinic antagonism
In essense it isn't good for our UNITED country!.
.
I do believe that when JPM picks somebody to work with he does it purely based on merit and nothing else!!..
 
Wakati wa Mwl. Nyerere alikuwa na Butiku kama katibu wa Rais (homeboy)
Alikuwa na General Msuguri kama (CDF)
Alikuwa na Warioba kama Attorney General (Homeboy)
Aliwahi kuwa na Joseph Nyerere RC mwanza (Homeboy)
Alikiwa na Bhoke Munanka waziri wa Usalama (homeboy)
Was it a coincidence?

Tuna Huseein Mwinyi Waziri wa Ulinzi kwa sasa. Amekuwa Naibu Waziri enzi za Mkapa na later akawa waziri kamili enzi za JK... kama sio family name ya Mzee Mwinyi, angefika hapo kwa ubavu wake?

JK aliingia na wanamtandao kuchukua a number of key post.

Sidhani kama JPM ni mkabila, but rather, mtu yeyote hata ungekuwa wewe, ni rahisi kufanya kazi na watu unaowaamini na wana utii, pasi chembe ya kukuzunguka ili kupiga deal.
Simwoni JPM mkabila, ila huenda kama binadamu anafanya kazi na watu anaowafahamu na hii iko duniani kote.

JFK alifanya kazi na mdogo wake Robert Kennedy kama AG.
Bush sr, baada ya kutoka madarakani, Bush Jr akaingia Whitehouse....
By the way, hao walioteuliwa ni Watanzania na wana sifa. Siamini kwenye nepotism, but rather the commander in chief is working with subordinate who are loyal to him to ensure his service to Tanzanians is realized.

Wakati tunajiuliza JPM, pia tuangalie CDM jinsi udugu na ushakaji na ukaskaz ulivyoshamiri kwenye fursa za ubunge, nafasi kwenye chama.... vip kama wangepewa nchi, wangeweza kweli ku-strike balance...kumbukeni wakati Kitilya akiwa Kamishna mkuu TRA namna ambavyo kabila lake kilijinafasi... what if mkoa hue ungetoa Prezdaa, najaribu kuwaza kama wangekuwa na uwiano kwenye kugawa keki ya taifa
Hao waliopita kuwa wakabila hakuzuii na huyu kuwa mkabila.
 
Mkuu chini ya mlima upi, Kitonga?
Mlima mrefu Tz na Africa, hao ndio wanaongelea mambo ya ukabila sana kwa sababu wao wanafikiria ukabila, hawataki kiyasaka apate cheo chochote, wanaamini wao tu ndio wanatakiwa kuongoza isipokuwa wao ni ubaguzi.
 
Hao waliopita kuwa wakabila hakuzuii na huyu kuwa mkabila.

Tuambie huo ukabila upo wapi?
Kati ya mawaziri waandamizi 20, wasukuma ni wangapi?
Kati ya manaibu waziri 25, wasukuma ni wangapi?
Kati ya makatibu wakuu 25, wasukuma ni wangapi?
Vipi kuhusu Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika, Naibu Spika, Jaji Mkuu, Attorney General?
Kwako hadi wawe wachaga ndio sawa?
Tz tuna makabila 120 kwa nini mnataka vyeo mshike nyie tu ?
 
Wakati wa Mwl. Nyerere alikuwa na Butiku kama katibu wa Rais (homeboy)
Alikuwa na General Msuguri kama (CDF)
Alikuwa na Warioba kama Attorney General (Homeboy)
Aliwahi kuwa na Joseph Nyerere RC mwanza (Homeboy)
Alikiwa na Bhoke Munanka waziri wa Usalama (homeboy)
Was it a coincidence?

Tuna Huseein Mwinyi Waziri wa Ulinzi kwa sasa. Amekuwa Naibu Waziri enzi za Mkapa na later akawa waziri kamili enzi za JK... kama sio family name ya Mzee Mwinyi, angefika hapo kwa ubavu wake?

JK aliingia na wanamtandao kuchukua a number of key post.

Sidhani kama JPM ni mkabila, but rather, mtu yeyote hata ungekuwa wewe, ni rahisi kufanya kazi na watu unaowaamini na wana utii, pasi chembe ya kukuzunguka ili kupiga deal.
Simwoni JPM mkabila, ila huenda kama binadamu anafanya kazi na watu anaowafahamu na hii iko duniani kote.

JFK alifanya kazi na mdogo wake Robert Kennedy kama AG.
Bush sr, baada ya kutoka madarakani, Bush Jr akaingia Whitehouse....
By the way, hao walioteuliwa ni Watanzania na wana sifa. Siamini kwenye nepotism, but rather the commander in chief is working with subordinate who are loyal to him to ensure his service to Tanzanians is realized.

Wakati tunajiuliza JPM, pia tuangalie CDM jinsi udugu na ushakaji na ukaskaz ulivyoshamiri kwenye fursa za ubunge, nafasi kwenye chama.... vip kama wangepewa nchi, wangeweza kweli ku-strike balance...kumbukeni wakati Kitilya akiwa Kamishna mkuu TRA namna ambavyo kabila lake kilijinafasi... what if mkoa hue ungetoa Prezdaa, najaribu kuwaza kama wangekuwa na uwiano kwenye kugawa keki ya taifa
Uongo hawa watu walifanya kazi vipindi yofauti na miaka 25 tofaitisha na mitatu
 
Obama alimpa tenda kaka wa mke wake, ilikuwa ni tenda yenye uhusiano na masuala ya kuweka program za computer pale Washington, kibaya ni kwamba jamaa alipewa pesa nyingi na kazi ikamshinda.

Ukiwa kiongozi mkuu halafu ukashindwa kuwakumbuka jamaa zako, maana yake wewe hujitambui na hufai kuwa na cheo ulichopewa.

Mwalimu Nyerere Baba wa Taifa hili alijizungushia wigo wa jamaa zake kutoka Mara. Akaja Mzee Mwinyi akajizungushia jamaa zake wa karibu. Akaja Mkapa akajizungushia wigo wa mashemeji zake.

Ukipewa madaraka makubwa halafu ukashindwa kuwa na wasiri ambao ni watu wako wa karibu maana yake wewe hufai kuwa na cheo ulichonacho.
 
Rais Msukuma, makamu wa Rais- Zenji Waziri Mkuu- Lindi, Spika- Dodoma, makamu wake - Mbeya.

Njoo kwa mawaziri waandamizi, Msukuma nadhani ni Mpina na Kalemani tu ndani ya mawaziri waandamizi 20.

Manaiba waziri wapo kama 20 pia, wasukuma sijui kama wapo hata 2 tu.

Twende kwenye vyombo vya usalama,
TISS- Morogoro
JWTZ - Mwanza
Polisi- Mkurya
Uhamiaji- ?
Zimamoto- ?
Madawa ya kulevya - Mmasai

Hizo ndio nafasi kubwa za juu na naamini zinatoa picha ya mbali ya hakuna ukabila hapo vinginevyo labda tuseme Rais kwa kuwa ni Msukuma basi msukuma yoyote haruhusiwi kupata nafasi serikalini.
Hawa ni wale jamaa ambao walizoea kitonga enzi za JK, kaja JPM wanaona zile mishe zao zote zinakwama hivyo hasira pa kuzimalizia ni humu jukwaani.
 
Hao wanafanya kazi ya kujitolea tu, hawalipwi chochote cha mlipa kodi kutoka whitehouse ya Trump.

Siyo kama hapa KWETU Bichwa nafiki anateua kwa kusikilizia upepo,

Anateua MPWA DOTTO JAMES kuwa NAIBU KATIBU MKUU HAZINA, akiona watu wametulia wamejisahau AKAM-PROMOTE akawa KATIBU MKUU HAZINA, wanachota tu MAPENE.

Akamteua HOMEBOY aliyemwachia JIMBO MEDARD KALEMANI awe NAIBU NISHATI na MADINI, alivyoona watu wamejisahau wametulia KAMTUMBUA MUHONGO, KALEMANI na JIWE Wanagonga TEN PERCENT tu miradi mipya ya UMEME.

Hawana SHIDA, MSUKUMA CDF MABEYO anawapa AMANI.

#WanalongatuKIPUSHIkulu
Angeingia Ikulu Lowassa angeweza kuwatupa kina Mbowe na jamaa wengine wa karibu na yeye?.

Achana na mawazo ya kilofa mkuu, hakuna mtu anayepewa madaraka halafu akawa mbali na jamaa ambao yeye anawajua vyema.
 
Back
Top Bottom