robert sendabishaka
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 3,144
- 3,338
mh!Mkuu utakua na roho nzuri..
Paka hakubali kuguswa na mwenye roho mbaya!
Wanauwezo wa kutambua roho za watu
mh!Mkuu utakua na roho nzuri..
Paka hakubali kuguswa na mwenye roho mbaya!
Wanauwezo wa kutambua roho za watu
Wee wapenda paka ledada?Aaaaww kizurii [emoji7][emoji7]
Itakuwa unapenda paka ndo maana hakikimbii
Sana SestenWee wapenda paka ledada?
Niliambiwa nilipokua mdogo mtu anayewapenda paka na kuwajali kama kuwapa chakula, maji na hata kucheza nao mara nyingi huwa ni mtu wa huruma na anaejali, eti ukiwa na rafiki wa namna hiyo ni kua na rafiki wa maana sana, ingawa pia watu hao wanakua imara kwenye maamuzi yao. Au sijui marehem bibi yangu alikua ananilisha matango pori ledada!!?Sana Sesten
Bibi yako alikua sahihi sanaNiliambiwa nilipokua mdogo mtu anayewapenda paka na kuwajali kama kuwapa chakula, maji na hata kucheza nao mara nyingi huwa ni mtu wa huruma na anaejali, eti ukiwa na rafiki wa namna hiyo ni kua na rafiki wa maana sana, ingawa pia watu hao wanakua imara kwenye maamuzi yao. Au sijui marehem bibi yangu alikua ananilisha matango pori ledada!!?
Hahahahaa, sawa mkuu.....R.I.P bibiBibi yako alikua sahihi sana