Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,740
- 76,383
Afadhali ya paka ni mnyama ambae hata ndani anafugwa anaishi na binadamu, mbaya zaidi ni kwa wale wanaolazimisha kufuga mbwa ndani, mnyama ambae ni maalum kwa ajili ya kufugwa nje ya nyumba kwa ajili ya ulinzi.Aisee hao ndo wachafu kupitiliza