Homeless...

Homeless...

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Wakuu nimekutana na haka ka paka job, cha ajabu hata haka kimbii...
IMG-20180424-WA0011.jpg
IMG-20180424-WA0006.jpg
IMG-20180424-WA0002.jpg
IMG-20180424-WA0005.jpg
 
Vipaka vya rangi hiyo na wale wakijivu huwa wana akili sana!lakini upate yule mweusi dadekii kwanza ungemshika hivyo ameshaita nyauu ya asira na kukukwaruza(hii inaonyesha vitu vyeusi sio vizuri hata binadamu weusi sisi ni shithole)
 
Unafanya kazi gani, mbona kazini kwako pachafu hivyo au unanunua makopo? Halafu jifanye mzungu tu na vipaka hivyo, Bongo hii. Mtafute Mshana Jr.
 
Daah ndo maana sipendi kushikana mikono na watu chefuuu mnashika shika kila kitu njiani
Bora mie nayeshika kimwaga mkojo changu. Tukishikana mikono lazima usisimke. Si ndio eti enh?
 
Mkuu hizo moving mountain umekunywa zote peke yako[emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom